Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
Jamani nimesoma issue humu very well and clearly. Sasa kwa sisi wengine tuliongia kwenye ndoa kama ma house wife kutoka na mazingira kutokutuwezesha kupata kazi kwa haraka alafu mwenzio hakuonyeshi matumizi ya pesa zinakwendaje, hujui bank account yake, msaada kwa ajili ya matumizi yangu ni hafifu mpaka naenda kutafuta njee etc...je, na mimi nikijapata kazi nimuhandle vipi jamani.
Kwanza, una maana gani unaposema unaenda "kutafuta njee"? Unaenda kukopa kwa marafiki? majirani? ndugu? au unatumia vitega uchumi vyako?
Pili, mimi binafsi ninaamini ktk falsafa ya reciprocity ktk mahusiano baina ya mwanaume na mwanammke. Kwa hiyo basi, kama na wewe ukija kupata kazi na kuanza kupata kipato chako mwenyewe, give him the taste of his own medicine. Simple as that.