HHHK
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 817
- 288
Sio hamisi anaitwa saidi bagaile..hamisi ni jina la mtuctu aliyetumia vyeti vyake kusomea
Kama alivyofanya Madelu mwigulu
Sio hamisi anaitwa saidi bagaile..hamisi ni jina la mtuctu aliyetumia vyeti vyake kusomea
Dogo Khamis, weka maneno ya akiba angalia usije kuwa kama Mashishanga.
Rais wetu ni dr.slaa
Huyu jamaa ananifurahishaga sana mtu wa kwetu, ubunge yenyewe nina u hakika harudi, lakini anataka uraisi! Mi ccm bana!
Mkuu nadhani wewe ndio hujanielewa!
Demokrasia ndani ya CCM ni pana mno, ndio maana sio ajabu kuona mimi na mwenzangu Lizaboni hatuko pamoja, kwenye masuala fulani fulani, dhana ya kukubaliana kutokukubalina inafanya kazi vyema ndani ya CCM.
I mean, nyie huko CHAGADEMA mtabishania nini wakati mgombea ni mmoja tu, BABU?
Ndo maama Hamisi Kigwangala kaomba mdahalo na Lowasa. Ana maswali mengi ya kumuuliza. Mie nina maswali mengi pia. Kwa kuanzia naweka haya maswali ambayo wadau wengi wameyauliza humu jf
Hamis ana laana ya kumtelekeza baba yake mpaka umauti! Tumsamehe bure!
hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo mshirika wa wizi anaachiwa huru kisa eti alitumwa kuiba na mtu mwingine , hata lowasa afanyeje hawezi kuikwepa richmond ( uzuri ni kwamba hata yeye anajua , bali anawadanganya wapambe wake )Mkuu hii ndio demokrasia,
Kila mtu anakuwa na haki ya kusema afikiricho, na sio lazima wote tuwaze kwa kufanana kama ninyi![/QUO
EL pona yake ni kusema kweli bila kificho. Asiogope. Aseme juu ya Rich mond. Nani alihusika, mgao nani alipokea
kuna tetesi kwamba mwakyembe anakuja na maswali magumu zaidi , ni lazima patachimbika ! haya mambo ya kung'ang'ania kugombea uongozi ili kuwaridhisha wanaokuchangia hela ni hatari sana .Mkuu Ritz tukianza kuogopa kusema kwasababu fuani aaweza kuwa Rais wa nchi basi ujue tunaelekea pabaya.Dr Hamis Kigwangallah katika hili yupo sahihi Lowassa kama anataka uongozi basi awe ni mtu aliyetayari kujibu hoja na si vinginevyo.Tukiogopa kumuuliza maswali Lowassa leo kesho akikalia ofisi ya magogoni tutaogopa hata kumtazama usoni.
swali zuri,eti Lowasa alitumiwa tu!!so kutumiwa kunampaje haki mtumiwaji kutokuwajibikaMkuu Msalani Kwahiyo RICHMOND nani alihusika hapo Lumumba?
Hamis ana laana ya kumtelekeza baba yake mpaka umauti! Tumsamehe bure!
Na wewe! Fedha za mafisadi zinatembea UVCCM kote. Kinachoongelewa hapa ni mustakabali wa taifa letu si mtu na baba yake
Arusha Lowassa atamwaga mboga,ugali na maji ya kunawa....mwisho kabisa atatafuna na vibakuli....
Mtu mwizi ni mwizi kama alitumwa kwa nini hakukukataaswali zuri,eti Lowasa alitumiwa tu!!so kutumiwa kunampaje haki mtumiwaji kutokuwajibika