Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Kigwangala hana ubavu wa kupambana na mzee Lowassa,na vijana kumbukeni nchi haipewi vijana hata siku moja.nyie mtakuwa wabunge tu.

Kapambana kwa kusema ukweli?? achene vitisho vya kitoto
 
Masikini HK!, kumbe hajui hata "what is the name of the game?!.

P.

What if he is also a part of the game?!!

I am sure CCM is the only political institution with professional game changers at large!!
 
Dkt.Hamis Kigangwala ni mwanasiasa mchanga asiyejua kusimama katika hoja zake na badala yake kujawa na jazba kila akihisi kuna mtu anaweza mpiku. Hilo pia lilidhiirika katika BUNGE LA KATIBA ambapo akiwakilisha maoni ya walio wengi alitumia muda mrefu kuongea vitu vilivyo nje ya maandiko aliyopaswa kuyawasilisha kwa hofu ya mwakilishi wa maoni ya wachache Tundu Lissu atavyokuja kupasua. (kwa mnaokumbuka, Samwel Sitta alitumia nguvu nyingi kumrejesha kwenye mstari lakini mwisho Kigwangala alilalamika kuwa Samweli Sitta alipendelea wapinzani)

Edward Ngoyai Lowasa keshasema hana kisasi, lakini kwa uwezo mdogo, jazba, hamaki, ni dhairi mtu kama huyu hatoendana na KASI YA LOWASA hatopewa nyazifa kuepusha kudorola maendeleo kama ilivyo kwa serikali hii
 
But EL won't be the right partner in his battle!

I didnt talk about choosing the partner, i said he need to chose his battle careful; FYI, battle na partnership haviendani
 
Fisadi Lowasa mbona unavuruga chama chetu.Si utulie kama Uraisi Nyerere alikukataa!Tumekataa tamaa chama chetu kimetekwa na majizi na wagonjwa EL unaongea unatokwa na udenda

Hivi kwani Nyerere alikuwa na Copyright Ya hii nchi? Au ndio tunataka kumfanya Mungu? Hivi ni kila kitu anachokataa mtu hakifai? I think we should me more sensible and thoughtful. Watanzania wa sasa sio wa enzi za Nyerere
 
I didnt talk about choosing the partner, i said he need to chose his battle careful; FYI, battle na partnership haviendani

Hutaki kukubali kuwa kama ukiona huwezi kupambana nao ungana nao! Panua mtazamo!
 
Kama muda wa kunadi sera zake kama mgombea anahangaika na hoja za watu na kujaribu kupunguza umaarufu wa mwenzie tayari kwangu mimi hafai. Siku akiwa raidi ataacha kuangalia mahitaji yetu wananchi na kukimbilia kuwasema maraisi wa nchi jirani. Kwanza ubenge wenyewe alipewa tu...mi namwona hana tofauti na viti maalumu tu.
 
Hutaki kukubali kuwa kama ukiona huwezi kupambana nao ungana nao! Panua mtazamo!

I talked about Hamisi shoosing his battle carefully not his allies!!

si lazima tuwe na mtazamo unaofanana... I respectfully differ with you kabisa
 
Pasco
Kubalini tu...game aliyoibua leo mzee wenu itam hunt big times kaka.
Eddo hana mwamvuli wala kivuli cha kumpunguzia makali ya joto la aina yoyote ya ufisadi uliofanywa na Serikali ya CCM au chama hicho. Hakuna.
Tunasubiri kuona kesho maswali gani hasa aliulizwa na amejibu nini!
Lowassa hawezi kujinasua katika mess up yoyote ya Serikali ya Kikwete au chama chake. He is just at loss...like any other CCM galas.
I like your guts, hopes na wishfulthinking, hope to see you there baada ya October 25!, ila hala hala, nimeisha anjifu ya kuwafutia watu machozi na kuwabembeleza kwa vilio, kwa sababu 2015 ni Lowassa na ni CCM Tena!, huu ndio ukweli mchungu kumeza!.

Pasco
Mkuu Tumaini Makene, hapa najikumbusha tuu, ila hapo kwenye bold, kufuatia 'game changer', then hiyo he is, sasa ni he was just a loss by then akiwa CCM, now he is a jewel!.
Ila hata mimi nimeptia kuwa, 2015 ni Lowassa, ila sio CCM bali Chadema!, badala ya vilio ni vicheko!.

Pasco


Pasco
 
Mkuu, hapa najikumbusha tuu, ila hapo kwenye bold, kufuatia 'game changer', then hiyo he is, sasa ni he was just a loss by then akiwa CCM, now he is a jewel!.

Pasco
Mkuu,
Hao niwa kuhurumiwa tu.

Wakati wao wanarusha kashfa na kejeli hawakufahamu boss wao alikuwa sokoni aki-negotiate Lowassa total price package!

Kwa sasa watakwambia Lowassa ameishatoa kauli ya kukana kuhusika na ufisadi na wamemwelewa na kumsamehe!

Ama kweli, tujifunze kubakiza maneno...
 
Poor H. K! Stay out of the DON 'S way, he've got important business to do after October with the Tanzanians!
 
Mkuu Tumaini Makene, hapa najikumbusha tuu, ila hapo kwenye bold, kufuatia 'game changer', then hiyo he is, sasa ni he was just a loss by then akiwa CCM, now he is a jewel!.
Ila hata mimi nimeptia kuwa, 2015 ni Lowassa, ila sio CCM bali Chadema!, badala ya vilio ni vicheko!.

Pasco


Pasco

I just fell in love with this post, as it hit nails right on the poor conservatives heads!
 
Back
Top Bottom