Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Hamisi Kigwangala
Hamisi Mwinjuma
Hamisi Kiiza
Hamisi Kagasheki
unless hujui uko jukwaa gani na tunazungumzia nini

si ajabu hata hujui kwamba unasoma JF... go figure
 
Uzuri wake Mheshimiwa amesema hatolipiza kisasi.So HK mwache atoe mawazo yake kwa ni haki yake.Lowasa my next presidaa
 
Kazi imeanza na EL najua hutashinda hii vita kwani si ndogo unavyodhani na jina lako litakatwa bora ungekaa kimya!! Huwa nasema kila siku huna washauri wazuri wa campaign!!
View attachment 254564


You can only cross the bridge when you come to it ma men; NOT B4!! Mwanaume haswaa huwa hakimbii vita mpaka apigane kwanza na kupima kina cha maji; sio kabla!!; Mtu mzima hatishiwi nyau! Wengine ni kama "Mbwa wa kujitegemea"; labda mtaita Mbwa koko! kubweka sana tu; msogelee wala hutaona alikopita kwenda mafichoni!

EL; mimi MTK na VuguVugu; (Movement) yangu yote kwenye harakati za mabadiliko endelevu Tanzania sikuungi mkono hata yard moja! lakini nasema; Go go go EL; you have nothing to loose BUT your Chains! zilizokomaliwa na Nape Nauye kama Luba!!!! let them bring it on; face them off one after another.
 
kigwangwala wewe ni kinda katika medani za siasa za ccm. hujulikani ccm na ni mgeni katika fitina za kiccm. sasa ujue ndio unapotea kabisa katika ccm. mimi niko ccm muda mrefu nazijua fitna za ccm. umekwisha kigangwala nakuonea huruma

hata mzee moyo alisema ukweli mkamchinjia baharini? siasa za ccm zinajulikana hazitaki wasema ukweli?
 
sitta alikuwa na tamaa ya urais na alijua LOWASSA kuendelea kuwa waziri mkuu ni kikwazo kwake
katika sakata ya escrow PINDA hakujiuzuli kwa kuwa makinda hana nia ya urais

ni sitta aliyelifunga MJADALA WA DOWANS bungeni huku leo akilialia kwamba hamna utekelezaji wa maazimio ya bunge.

MWAKYEMBE alimficha muhusika hasa kwa kashfa ya RICHMOND na sasa atutajie........

Fisadi Lowasa mbona unavuruga chama chetu.Si utulie kama Uraisi Nyerere alikukataa!Tumekataa tamaa chama chetu kimetekwa na majizi na wagonjwa EL unaongea unatokwa na udenda
 
Masikini HK!, kumbe hajui hata "what is the name of the game?!.

P.
Pasco

Kubalini tu...game aliyoibua leo mzee wenu itam hunt big times kaka.

Eddo hana mwamvuli wala kivuli cha kumpunguzia makali ya joto la aina yoyote ya ufisadi uliofanywa na Serikali ya CCM au chama hicho. Hakuna.

Tunasubiri kuona kesho maswali gani hasa aliulizwa na amejibu nini!

Lowassa hawezi kujinasua katika mess up yoyote ya Serikali ya Kikwete au chama chake. He is just at loss...like any other CCM galas.
 
Last edited by a moderator:
Pasco

Kubalini tu...game aliyoibua leo mzee wenu itam hunt big times kaka.

Eddo hana mwamvuli wala kivuli cha kumpunguzia makali ya joto la aina yoyote ya ufisadi uliofanywa na Serikali ya CCM au chama hicho. Hakuna.

Tunasubiri kuona kesho maswali gani hasa aliulizwa na amejibu nini!

Lowassa hawezi kujinasua katika mess up yoyote ya Serikali ya Kikwete au chama chake. He is just at loss...like any other CCM galas.


Mkuu wamejipa Miezi miwili ya kumtembeza majukwani "Kumsafisha" inatosha. wampitishe huyo huyo Lowassa kwani CCM kuna Mahali pameandikwa itadumu milele???? anguko hilo linakuja
 
Last edited by a moderator:
Na wewe! Fedha za mafisadi zinatembea UVCCM kote. Kinachoongelewa hapa ni mustakabali wa taifa letu si mtu na baba yake

Teh tehe,Battle of Lumumba hii naifananisha na ile Battle of Iwo Jima kati ya Marekani na Japan.
 
Mih. Makondakta alighafilika kumzaba vibao mzee yule kumbe ni jadi ya maccm!!! We Hamisi unatoka wapi kumnenea huyu mzee wa watu??? Huogopi hata hizo mvi!! Waache wenzake ka wana neno wamseme siyo weye. Ati unataka mpeane michapo kwenye mdahalo, hivi nikuulize kaswali kadogo tu; Tuseme ile redio yenu ya chama Tbcccm ikikupa neema ya dk 45 msimame naye utathubutu??
Kweli nimeamini maccm yamekwisha kabisa. Hata mshipa wa aibu hawana tena ushapasuka zamaniiii. Alaf Hamisi unasema unautaka urais, sawa kabisa kwa kuwa umekuwa rahisiiiiii:msela::msela:
 
When the rain falls. . . . .. some will feel it and some will just get wet. . .
 
sitta alikuwa na tamaa ya urais na alijua LOWASSA kuendelea kuwa waziri mkuu ni kikwazo kwake
katika sakata ya escrow PINDA hakujiuzuli kwa kuwa makinda hana nia ya urais

ni sitta aliyelifunga MJADALA WA DOWANS bungeni huku leo akilialia kwamba hamna utekelezaji wa maazimio ya bunge.

MWAKYEMBE alimficha muhusika hasa kwa kashfa ya RICHMOND na sasa atutajie........

Mkuu eddo anahusika na richmond 100% usidanganye wala sitti hana uwezo wa kua rais wa tz.....rostam ndio mwenye kampuni na kumbuka kampeni za 2004 rostam alinunua landcruiser hardtop 50m za kumnadi jk afta uchaguzi hizo gari ziliuzwa kwa bei chee na hazikua na kodi.
So ndio mana alipewa hiyo tenda fake ili arudishe gharama zake cz alitoa nyenzo plus pesa,richmond ililetwa n lowasa na rostam ili kupiga hela watanzania tumeibiwa mchana kweupe kwa kulipa 150m perday kma capacity charge then wewe unasema eddo hahusiki kivipi na yeye ndio alisign huo mkataba tena j2 siku ambayo serikali haifanyi kazi.

Tuache ushabiki maandazi richmond ni ya eddo na rostam hawa wa2 hawafai.jk yke ni escrow pamoja na pinda wake
 
Dogo Khamis, weka maneno ya akiba angalia usije kuwa kama Mashishanga.

kwanini uishi kwakuwa mnafiki mkuu.Hamisi ni Dr. Siyo kama lowasa hata professional haieleweki.ukiona msomi anaogopa kuelezea hisia zake kwa sababu ya fulani ujuwe ana matatizo kichwani.hamisi anajuwa njia alizopita kufika hapo alipo? Acheni uwoga wa kijinga kama mtu hafai unamweleza wazi kuwa hufai hiki ndio kipimo cha mtu mwenye akili.
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Huyu lowasa ni mtu ambaye anahitaji face to face confrontation ajijue kabisa!!heko kigwangalla you have my support tulipofikia Tanzania ni pabaya UFISADI lazima iwe agenda kuu ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom