Hamis ana laana ya kumtelekeza baba yake mpaka umauti! Tumsamehe bure!
Na wewe! Fedha za mafisadi zinatembea UVCCM kote. Kinachoongelewa hapa ni mustakabali wa taifa letu si mtu na baba yake
Hapa dawa ni mtu wetu amwage vyote,ugali,mboga na maji ya kunawa! Hili fukuto lisipokuwa handled vema,basi Ukawa ni mwaka wa mavuno,mapeeemaaa!
Kuna wakubwa fulani wamejiandaa kumchinjia bahari EL,Including JK. Komesha yao ni EL kutema cheche...Watanywea,,otherwise...
Watz wanajua ww ndo hujuiMasikini HK!, kumbe hajui hata "what is the name of the game?!.
P.
Arusha Lowassa atamwaga mboga,ugali na maji ya kunawa....mwisho kabisa atatafuna na vibakuli....
Mkuu hii ndio demokrasia,wera weraaaaaa!!! picha limeanza, mtatafutana! ni kama mnara wa babeli vile, mshaanza!
Na wewe! Fedha za mafisadi zinatembea UVCCM kote. Kinachoongelewa hapa ni mustakabali wa taifa letu si mtu na baba yake
Masikini HK!, kumbe hajui hata "what is the name of the game?!.
P.
Ndo maama Hamisi Kigwangala kaomba mdahalo na Lowasa. Ana maswali mengi ya kumuuliza. Mie nina maswali mengi pia. Kwa kuanzia naweka haya maswali ambayo wadau wengi wameyauliza humu jf
wera weraaaaaa!!! picha limeanza, mtatafutana! ni kama mnara wa babeli vile, mshaanza!
Mkuu nadhani wewe ndio hujanielewa!kwa akili zako zilivyo ndogo hata hujui nimesema nini! jadilini suala lenu na Lizaboni kwanza.