Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Kweli mamvi kiboko sasa kama hahusiki nini kilimfanya ajiudhulu ndio cinema imeanza mpka ifikapo mwez wa 7 wa2 watakua I.C.U
sitta alikuwa na tamaa ya urais na alijua LOWASSA kuendelea kuwa waziri mkuu ni kikwazo kwake
katika sakata ya escrow PINDA hakujiuzuli kwa kuwa makinda hana nia ya urais

ni sitta aliyelifunga MJADALA WA DOWANS bungeni huku leo akilialia kwamba hamna utekelezaji wa maazimio ya bunge.

MWAKYEMBE alimficha muhusika hasa kwa kashfa ya RICHMOND na sasa atutajie........
 
Jamani hivi CCM mwaka huu mnataka kutupeleka wapi na njaa zenu za urais?
 
Kutoka ITV Lowasa kasema hapendi Umasikini.
Pia amesema kuwa kwenye Richmond hakuna sent iliyokuwa imetoka kipindi yeye anaachia ngazi
 
Kwa wanaotaka kuumpa lowasa urais wakampe uraisi wa ssm ila watanzania ataota sana! Mwizi mkubwa akafie mbali fisadi la kutupwa...!
 
waache demokrasia ndani ya chama ichukue nafasi
 
Ccm huu mwaka wenu badala ya kuwa bize na upinzani lakin ndo kwanzaa vita ya wenyewe.... mmevurugwa
 
Na wewe! Fedha za mafisadi zinatembea UVCCM kote. Kinachoongelewa hapa ni mustakabali wa taifa letu si mtu na baba yake

Mkuu ipo siku utabadili ID au uhame kabisa jukwaan! EL kasema kwa kinywa chake, "asiemtaka huko CCM ahame" kwa maana nyingine huyu bwana ana nguvu kubwa kuliko chama na chama hakina uwezo wa kumwambia lolote!

Ninavyoona, hakuna wa kumzuia huyu jamaa kwenda ikulu! Nilikua siamini ile kauli yake kwamba "huwezi kuzuia mafuriko kwa kiganja"! Ila nimeiamini na nimeelewa maana yake!!


Kama una akili tazama picha kwa mbali kijana!!
 
MUSSA ALLAN bado hujaelewa. naona akili zimefyatuka mpaka unanifananisha! subiri may 30 kuna ujio hapo kwenu. utaelewa tu!
 
Last edited by a moderator:
Jamani wana CCM hebu muhurumieni mwenzenu asije akafa kabla ya kutimiza ndoto yake.
 
mnara wa babeli unaanza kuporomoka mwaka huu tutashuhudia mengi sana maigizo mengi sana lakini.
VOTE FOR UKAWA.
 
Masikini HK!, kumbe hajui hata "what is the name of the game?!.

P.
He doesnt know what is happening, his naivety is (once again) getting the better of him... hiki kipindi cha mpito, atembee kama huko juu ya barafu, atunze maneno yake, yatamuhitaji very soon hata kama yeye hayahitaji
 
Back
Top Bottom