Kigwangwala sio size ya Lowassa kabisa.
Ni bora niishi somalia kuliko kuishi chini ya utawala wa fisadi EL.Never kama vipi tugawane nchi mapema.Huu upumbavu mkubwa.
Ni bora niishi somalia kuliko kuishi chini ya utawala wa fisadi EL.Never kama vipi tugawane nchi mapema.Huu upumbavu mkubwa.
Kwa wanaotaka kuumpa lowasa urais wakampe uraisi wa ssm ila watanzania ataota sana! Mwizi mkubwa akafie mbali fisadi la kutupwa...!
ataisoma LOWASSA akiwa rais.......yaan ccm tunachukiana kuliko sjui kwanini?
adui ya ccm ni wana ccm wenyewe na sio UKAWA
Ccm huu mwaka wenu badala ya kuwa bize na upinzani lakin ndo kwanzaa vita ya wenyewe.... mmevurugwa
Mkuu hii ndio demokrasia,
Kila mtu anakuwa na haki ya kusema afikiricho, na sio lazima wote tuwaze kwa kufanana kama ninyi![/QUO
EL pona yake ni kusema kweli bila kificho. Asiogope. Aseme juu ya Rich mond. Nani alihusika, mgao nani alipokea
Masikini HK!, kumbe hajui hata "what is the name of the game?!.
P.
Hamis ni mtoto mdogo sana...pili ANAJUA KABISA KUWA HAFAI KUWA HATA MBUNGE...kwani alichaguliwa kwa kura ndogo sana ndani ya CCM...Sbb CCM na JK walimpitisha Hamis, kinyume na taratibu na kumfuta Bashe aliyeshinda sana kura za kuwania Ubunge 2010, ambaye Bashe ni Team Lowassa, leo Hamis ni nani aweze kumjibu Lowassa, sbb anajua Bashe ni adui yake, na asingekuwa Mbunge kama sio JK, sasa anaona moto unakuja kwa kasi ya hatari, anaanza kufa kabla ya wakati....!!
Hamis, kaa mkao wa kula, kati ya vijana wa CCM tutakao wasahau ni ww... kwanza hufai, hukustahili kuwa Mbunge...leo unaanza kuropoka, utajutia mbele ya safari...soon..!!
dogo Kigwangala yeye apambane na watoto wenzie kina Nyalandu haya maji marefu atazama buree
Kawatisheni wapuuzi kama hawa wa hapa jf.hivi mnafikiri kila mtu anategemea pesa ya Lowasa kuishi? Hamisi ni Dr.by professional hajasoma fine and perfoming art kama lowasa hizi ni level mbili tofauti ndio maana Dr.kaamua kumchana Live..
Kigwangwala sio size ya Lowassa kabisa.
Mkuu Msalani Kwahiyo RICHMOND nani alihusika hapo Lumumba?Hamis ana laana ya kumtelekeza baba yake mpaka umauti! Tumsamehe bure!