Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

Hamis Kingwangala amjibu Lowassa

CCM ni chama ambacho kina makundi yanayokinzana kuliko chama chochote cha siasa Tanzania...

Huu upumbavu unaofanyika huko chamani ni moja kati ya vikwazo vya maendeleo ya nchi yetu...

Viongozi hufanyiana hujuma wao kwa wao kwa maslahi yao binafsi...

Mwisho wa siku wanaoumia ni Watanzania wote...
 
Ufisadi uliopo nchini unasababishwa na usalama wa. Taifa. Kuwa pamoja na chama.Lowassa asingejihuzuru Rais. AsingEmtoa madarakani,Lowassa. Alijitoa sababu aliona ile neutral justic haipo na akajua alikuwa anafuatwa yeye.HEbu Rudin ESCROW,pesa zimetoka majina ya ewanufaika ni siri,wahusika wamesafishwa kwamba hawana hatia kuna nini hapo?
Kilimo kwanza nani anajua pesa. Iliyotumika na serikali?
Fidia ya wakulima walio athirika na mporonyoko wa uchumi mwaka 2008 hv kweli Watz tuna data za wakulima walio athirika na kuwapa fidia.
Mie naona kipindi cha JK machanga ya macho ni mengi zaidi ya RICHMOND tunayoipigia kelele kwa LOWASA
 
Ona miTANZANIA mlivo wajinga.!!

Ndio maana Kagame anawatukana kila siku,pumbavu.!

Mtu anahoji maswali ya msingi mnamshambulia,baadae mtasema Tungejua.!

Sijui kwanini nimezali li nchi kama hili..

Ptuuuuui
 
Kawatisheni wapuuzi kama hawa wa hapa jf.hivi mnafikiri kila mtu anategemea pesa ya Lowasa kuishi? Hamisi ni Dr.by professional hajasoma fine and perfoming art kama lowasa hizi ni level mbili tofauti ndio maana Dr.kaamua kumchana Live..

That is academic arrogance najua CCM mwaka huu mmeamua kupitisha Majina ya Kingwangala, Wasira, Makongoro, Magufuli na Shein.

Watu wanajinadi chuki za nini wakati wao ndiyo waasisi wa chuki zenyewe. Sasa CCM imebaki kuwa mali ya familia za watu na siyo za wanachama tena.

Tusubiri hii sinema na hakika sikio la kufanya halisikii dawa!
 
Tunaomba Lowassa avuliwe gamba ndani ya chama, hafai!
 
mkuu naona umepata hasira za ghafla

Mkuu inauma sana hivi mijitu kama haina macho iweje mtu atafute urais kwa kutoa pesa alizozitolea jasho kama ndivyo? Yaani kweli sisi ni sikio la kufa binafsi sishabikii ujinga wa kuuza haki yangu nitakachotaka aje mwenye uwezo wa kunishawishi kwanini anataka kuwa rais, ana mkakati gani wa kitaifa kututoa hapa tulipo..
 
Hapa dawa ni mtu wetu amwage vyote,ugali,mboga na maji ya kunawa! Hili fukuto lisipokuwa handled vema,basi Ukawa ni mwaka wa mavuno,mapeeemaaa!
Kuna wakubwa fulani wamejiandaa kumchinjia bahari EL,Including JK. Komesha yao ni EL kutema cheche...Watanywea,,otherwise...

Kwa sasa mshauri Mzee Lowassa apumzike bado tunahitaji mvi zake! Siyo lazima aende ikulu, mwalimu Nyerere alisena; ikulu ni mahala patakatifu, kuna biashara gani pale Lowassa na wahuni wake wanataka kufanya? Urais ni mzigo jamani kama wewe ni mtu safi huwezi kutoa pesa kwenda ikulu utakuwa fisadi tu.
 
where was he? atuambie richmond ni nani? kwa nini tume iundwe ile mamilioni then ionekane kuwa ni usanii,, hatuwezi pelekwa kijinga jinga
 
ataisoma LOWASSA akiwa rais.......yaan ccm tunachukiana kuliko sjui kwanini?
adui ya ccm ni wana ccm wenyewe na sio UKAWA

Sijui mwenzangu ni mwana CCM wa mwaka gani wewe..sisi tunafahamu wengi wetu wenye upeo kuwa adui wa CCM yetu sio UKAWA ni ufisadi rushwa na umasikini mkubwa unaowasumbua watanzania kwa sasa...UKAWA wanapitia huko kutusumbua..na CCM hakuna maadui ila wapo wapenda haki na mafisadi tu..i.e kuna CCM Imani ambao hawana influence na vyombo vya habari kupiga siasa na CCM maslahi hao hata wewe unawafahamu. UKAWA hajakuwa threat kwa kwetu hata siku moja
 
Hakuna MSAFI ndani ya Ccm,Lowassa analijua ilo na wote walio ndani wanalijua ilo,ni ujinga wetu tu ndio tunaendelea kukumbatia Ccm na mfumo ule ule kwa kuamini kwamba kuna mtu toka Ccm atakuja kulibadili taifa ili na kulirudisha kwenye maadili na mitazamo chanya kimaendeleo
 
Pasco

Kubalini tu...game aliyoibua leo mzee wenu itam hunt big times kaka.

Eddo hana mwamvuli wala kivuli cha kumpunguzia makali ya joto la aina yoyote ya ufisadi uliofanywa na Serikali ya CCM au chama hicho. Hakuna.

Tunasubiri kuona kesho maswali gani hasa aliulizwa na amejibu nini!

Lowassa hawezi kujinasua katika mess up yoyote ya Serikali ya Kikwete au chama chake. He is just at loss...like any other CCM galas.
I like your guts, hopes na wishfulthinking, hope to see you there baada ya October 25!, ila hala hala, nimeisha anjifu ya kuwafutia watu machozi na kuwabembeleza kwa vilio, kwa sababu 2015 ni Lowassa na ni CCM Tena!, huu ndio ukweli mchungu kumeza!.

Pasco
 
kwa mwenye akili hawezi sema hivo,kasahau EL alivotaka kuanika mambo hadharani ktk kikao cha halmashauri kuu mkapa akamzuia,najua onyo lake linawafyata mikia wengi,endeleeni kumchafua aweke mambo hadharani.
TEAM Lowassa.
 
Last edited by a moderator:
ataisoma LOWASSA akiwa rais.......yaan ccm tunachukiana kuliko sjui kwanini?
adui ya ccm ni wana ccm wenyewe na sio UKAWA

ndomana upinzani anatumia hizo loophole kuitesa sababu watu hawaelewani
 
Na hapa ndipo ilipo tofauti kati ya Lowassa na kundi la wapuuzi wanaofikiri kuwa nao wanaweza kuwa marais wa nchi hii...wakati Lowassa ana agenda zake anazozingumzia,wapuuzi hao wao hukaa yakisikiliza atasema nini ili yapate cha kusema kesho yake,kwa hiyo hapa Kigwangala hakuwa na la kusema hadi aliposikia Lowassa amesema,January Makamba hana la kusema lakini kesho atapanua kinywa chake kusema baada ya kusikia Lowassa amesema,Membe hivo hivo,Sitta hivohivo,Mwandosya hivohivo,Sumaye hivohivo...yaani utafikiri matoto madogo,hawana la kusema hadi wasikie Lowassa kasema khaaaa,ASBSOLUTE STUPID!

Kama alikuwa hataki watanzania wamjibu utumbo aliokuwa anauongea aliita waandishi wa habari wa nini si angejifungia chumbani kwake aongelee huko?
 
hivi lowassa ana walinzi nyumbani kwake?jinsi anavyoongea ni kama jumamosi kuna kubwa atalidondosha na akina rama ighondu wanatisha...
 
That is academic arrogance najua CCM mwaka huu mmeamua kupitisha Majina ya Kingwangala, Wasira, Makongoro, Magufuli na Shein.

Watu wanajinadi chuki za nini wakati wao ndiyo waasisi wa chuki zenyewe. Sasa CCM imebaki kuwa mali ya familia za watu na siyo za wanachama tena.

Tusubiri hii sinema na hakika sikio la kufanya halisikii dawa!

Kingwangala ndiyo nani?sisi tunamjua kigwangala
 
Huyo HK Nzega kaishindwa ataliweza TAIFA!?.
na safari hii lazma apigwe chini maana chaguo la kwanza anarudi kwenye nafasi yake (Bashe) kwa spidi ya umeme.
 
Msameheni bure kwa kuwa anajaribu kulipa fadhila ... kutoka number 3 hadi kuwa mgombea wa CCM kuna kazi ilifanyika pale Nzega! Bashe alisingiziwa kuwa si Raia!!! Selleli alionekana kaa la moto kwa real FISADIs ...
Hamis ana laana ya kumtelekeza baba yake mpaka umauti! Tumsamehe bure!
 
Back
Top Bottom