Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

Wamemdaharau Mbowe maana WANAMJUA
CCM imewaharibu; na huu ndiyo uwezo wao uliobakia...kutumia national resources kuharibu future ya wapimzani kisiasa sasa hawa wanawale kisiasa kwisha habari..who will trust them na kinachosikitisha zaidi wengi wao bado ni vijana.
Kokote watakakokwenda doa haliwezi kuwatoka litatembea na wao mgogoni.
Ogopa sana dhambi ya usaliti..bora hata hii ya gesti ina nafuu.
 
mbona kama unamsema Dr Slaa
 
au na wewe amekuvua chupi mwenyekiti?
 
Hao ni SAwa na mtu kumpeleka mpenzi wake mahakamani eti kisa kamuacha. Hao wanalindwa na serikali lengo kuwahadaa wafadhili, hio kesi itaenda hadi October 2025 wakati wa uchaguzi, Ili wamalizie ubunge wao.
Wangekuwa wana maanisha wangewasimamishia ubunge kwanza hadi kesi iishe. Covid-19 ni michezo Kati ya Mbowe, CCM na serikali, Mbowe KILA siku anaitwa ikulu, na ikulu ni CCM. Na CCM ni adui wa Chadema, wewe shika jembe kalime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…