Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

Mbona mwenyekiti wenu aliweka nne kwa Rais Samia ikulu mkaona ni jambo la kawaida
 
Hawa wanawake ni bora wamemdharau Mbowe ama Mnyika lakini si Kikao cha Baraza Kuu !! huwezi kukaa hivyo as if upo kwenye date na mwenzako, body language inaonyesha dharau kwa chama.

Chama lazima kikulambe bichwa tu.
Wamemdaharau Mbowe maana WANAMJUA
 
Kuna Padri mmoja amezaa na mwanamke sasa yule mwanamke anamnyanyasa sana yule padri maana kila akijaribu kuachana nae anamwambia nabeba huyu mtoto namleta hapo parokiani kwako!
Basi yule padri ananywea kimyaa!

Sasa ndio hii, hao wadada wanajua maujinga yote ya mwenyekiti ndio maana wanamdharau
na huko mahakamani ndiyo wanaenda kumvua nguo mbowe acha alazimishe kesi na kina kibatala wake hao hawajui kitu
 
na huko mahakamani ndiyo wanaenda kumvua nguo mbowe acha alazimishe kesi na kina kibatala wake hao hawajui kitu
Anayeyasema hayo Wigwa Bora hata angesema Cremia ningeweza kuendelea kuisikiliza hoja yake nyingine Moja🤔
 
This is not good bahaviour
👇View attachment 2228178
Watoto wamenawili hatari!misambwanda ya nguvu sio mchezo.
Ila twende mbele turudi nyuma!sie tunaotoa macho Hawa wafukuzwe bungeni,ingekuwa ndio sisi tupo hapo kwenye nafasi zao,tungetoka tu kirahisi rahisi na kuacha salary 12M,mafuta Lita 1000 kila mwezi!kiinua mgongo milioni 40+posho 300K kila siku!?
Jamani kitaani pagumu,unajiuliza Hawa kwanini wasiende tu kivyao wakajiajiri na mahela yote waliyonayo?mtaa we uache,tunaujua sie,tangu tutoke vyuoni miaka 10 sasa hata usaili hakuna,tupo tunaendesha maisha yetu
 
Ivi inawezekana hii ikawa imetokea bahati mbaya kwl yn safu yambele wote mkajikuta mmekunja nne
 
Back
Top Bottom