Sidhani kama suala la Rufaa za akina Halima Mdee linamuhusu Spika Tulia, Rufaa ni kuomba " Kurejeshewa" Uanachama!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Jaji mkeha amesema Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema kuwavua Uanachama Halima Mdee na wenzake ulikuwa sahihi

Maana yake Halima Mdee na wenzake kwa sasa Siyo wanachama wa Chadema

Hivyo Halima Mdee na wenzake wanaenda Baraza Kuu kuomba Kurejeshewa Uanachama wao

Hapa hata Spika angekuwa Babu Tale au Jah people maamuzi ya Jaji mkeha angeyaelewa Chap kwa Haraka 😂

Sabato Njema 😄
 
Kwani mzee mbowe na mdogo wake Lema wanasemaje?
 
Jaji mkeha amesema Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema kuwavua Uanachama Halima Mdee na wenzake ulikuwa sahihi

Maana yake Halima Mdee na wenzake kwa sasa Siyo wanachama wa Chadema

Hivyo Halima Mdee na wenzake wanaenda Baraza Kuu kuomba Kurejeshewa Uanachama wao

Hapa hata Spika angekuwa Babu Tale au Jah people maamuzi ya Jaji mkeha angeyaelewa Chap kwa Haraka 😂

Sabato Njema 😄

Yule spika ni kilaza kuliko yeyote yule. Utashangaa anashupaza shingo.
 
Jaji mkeha amesema Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema kuwavua Uanachama Halima Mdee na wenzake ulikuwa sahihi

Maana yake Halima Mdee na wenzake kwa sasa Siyo wanachama wa Chadema

Hivyo Halima Mdee na wenzake wanaenda Baraza Kuu kuomba Kurejeshewa Uanachama wao

Hapa hata Spika angekuwa Babu Tale au Jah people maamuzi ya Jaji mkeha angeyaelewa Chap kwa Haraka 😂

Sabato Njema 😄
Ukiwa hujapiga bapa una kuwa na akili timamu shida ukipiga
 
Jaji mkeha amesema Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chadema kuwavua Uanachama Halima Mdee na wenzake ulikuwa sahihi

Maana yake Halima Mdee na wenzake kwa sasa Siyo wanachama wa Chadema

Hivyo Halima Mdee na wenzake wanaenda Baraza Kuu kuomba Kurejeshewa Uanachama wao

Hapa hata Spika angekuwa Babu Tale au Jah people maamuzi ya Jaji mkeha angeyaelewa Chap kwa Haraka

Sabato Njema
Bwashee kusema ukweli wewe huwa hautabiriki kabisa katika uandishi wa nyuzi zako. Unaweza ukatoa maboko kibao, kwa siku, lakini ukatoka na moja kama hii ambayo imekwenda shule barabara.
 
Kwahiyo wanapokea mishahara na malipo hewa!, Ni wabunge hewa wasio na chama chochote?
 
Bwashee kusema ukweli wewe huwa hautabiriki kabisa katika uandishi wa nyuzi zako. Unaweza ukatoa maboko kibao, kwa siku, lakini ukatoka na moja kama hii ambayo imekwenda shule barabara.
Anasumbuliwa na vitu viwili 1. Akicheleweshewa posho yake pale UWT huwa anawageuka akilipwa anatugeuka wapenda haki. 2. Akiwa hajanywa huwa ni smart sn tofauti na Lucas Mwashambwa( mama mtu mzima)
 
Back
Top Bottom