Angalau Halima Mdee amemfunga paka kengele

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Ilikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa.

Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye kura na uchaguzi usimamiwe na msajili kama external observer.

Pia mdai demage ya kuitwa Covid 19.

Zaidi soma > News Alert: - Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao
 
Ilikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa.

Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye kura na uchaguzi usimamiwe na msajili kama external observer.

Pia mdai demage ya kuitwa Covid 19.
Panya mabaka
 
Chadema ni dude kubwa huwezi shindana na chama ichi , alisema BABA LEVO
 
Hizo hukumu zinazotolewa kwa maoni binafsi ya judge badala ya kusema kifungu kipi cha sheria kimevunjwa ndio unaziamini?

Hii nchi bado ina wajinga wengi sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa.

Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye kura na uchaguzi usimamiwe na msajili kama external observer.

Pia mdai demage ya kuitwa Covid 19.
Kwanini asije akomae kwenu UWT?
 
Hatari sana yaani agombee nafasi ya mswati hii ni sawa ameingia msikitini na viatu!
 
Mwenyekiti mhuni tu, anajua sana kilochotokea kwenye ubunge wa akina Mdee, yeye ndiye wa kupumzishwa.
Mdee kwenye utetezi wake aliwahi kusema alijua chama kitaacha mambo ya kutotambua uchaguzi yapite, ndio maana wakaona wajiongeze na wenzie kukimbilia kuapishwa kule gereji na Ndugai, matokeo yake majanga yakawakuta sasa kinachotokea ni kulindwa na serikali ya Samia chini ya mwamvuli wa mahakama.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Mdee kwenye utetezi wake aliwahi kusema alijua chama kitaacha mambo ya kutotambua uchaguzi yapite, ndio maana wakaona wajiongeze na wenzie kukimbilia kuapishwa kule gereji na Ndugai, matokeo yake majanga yakawakuta sasa kinachotokea ni kulindwa na serikali ya Samia chini ya mwamvuli wa mahakama.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Walikuwa na baraka zote za mwenyekiti.
 
Hizo hukumu zinazotolewa kwa maoni binafsi ya judge badala ya kusema kifungu kipi cha sheria kimevunjwa ndio unaziamini?

Hii nchi bado ina wajinga wengi sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwenye hili naona wewe ndo mjinga. Kasome hukumu vifungu vimeorodheshwa. Acha mihemko wakati Mbowe anashangilia maokoto yana uhakika sasa hadi 2025.
 
Ilikuwa ni mazoea na jadi kamati kuu ya Chadema kufukuza watu, na waliofukuzwa hawakuona haja ya kukomaa mahakamani bali walihama au kuanzisha vyama vipya. Mdee amefanya sawa na Upare wake kukomaa na kesi na ametoboa.

Sasa Mdee chukua fomu ya Uenyekiti na usikubali kuenguliwa mpaka ufike kwenye kura na uchaguzi usimamiwe na msajili kama external observer.

Pia mdai demage ya kuitwa Covid 19.
Kutokana na hukumu ya Jaji mimi nilivyo muelewa wakina halima si wanachama wa Chadema na kamati kuu haikukosea na hata mkutano mkuu haukhaukukosea ila busara ndizo zilizo Muongoza Jaji kwa hiyo hilo ni swala la mda tu sababu CDM hawana tatizo na ubunge wa hakina Halima Mdee wao wanatatizo na uwanachama wao na mahakama imekubaliana na kamati kuu kuwa hawa siyo wanachama. Wao CDM wameshamaliza hilo siyo swala lao tena ni swala la Bunge kutegemea na interest zake Maswala ya kisiasa hata siku moja huwezi kuyaamua mahakamani
 
Back
Top Bottom