Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

Wamemdaharau Mbowe maana WANAMJUA
CCM imewaharibu; na huu ndiyo uwezo wao uliobakia...kutumia national resources kuharibu future ya wapimzani kisiasa sasa hawa wanawale kisiasa kwisha habari..who will trust them na kinachosikitisha zaidi wengi wao bado ni vijana.
Kokote watakakokwenda doa haliwezi kuwatoka litatembea na wao mgogoni.
Ogopa sana dhambi ya usaliti..bora hata hii ya gesti ina nafuu.
 
Kuna Padri mmoja amezaa na mwanamke sasa yule mwanamke anamnyanyasa sana yule padri maana kila akijaribu kuachana nae anamwambia nabeba huyu mtoto namleta hapo parokiani kwako!
Basi yule padri ananywea kimyaa!

Sasa ndio hii, hao wadada wanajua maujinga yote ya mwenyekiti ndio maana wanamdharau
mbona kama unamsema Dr Slaa
 
au na wewe amekuvua chupi mwenyekiti?
 
Tumia akili kijana

IMG_4611.jpg

Ni kosa kubwa kuiga mkao pendwa wa mwenyekiti wa kudumu.
 
Hao ni SAwa na mtu kumpeleka mpenzi wake mahakamani eti kisa kamuacha. Hao wanalindwa na serikali lengo kuwahadaa wafadhili, hio kesi itaenda hadi October 2025 wakati wa uchaguzi, Ili wamalizie ubunge wao.
Wangekuwa wana maanisha wangewasimamishia ubunge kwanza hadi kesi iishe. Covid-19 ni michezo Kati ya Mbowe, CCM na serikali, Mbowe KILA siku anaitwa ikulu, na ikulu ni CCM. Na CCM ni adui wa Chadema, wewe shika jembe kalime.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom