Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

Hawa watu hasa huyu Mdee bado sijajua kwanini walikubali kudanganyika wakasaliti maamuzi ya chama chao, kama kilikuwa kiburi cha uwepo wa mwendazake pole yao.

Kinachomkuta sasa hivi hakuna yeyote mwanye akili atakayemuelewa na utetezi wake, walipewa ruhusa ya kujitetea kwenye KK wakagoma kwenda.

Kile kiburi walichoonesha pale ndio ulikuwa uhuni wenyewe, na ule uhuni ndio umeleta hii hasira kwa wajumbe wa Baraza Kuu "kuwachinjia baharini" kwa kura zakutosha toka kwenye kila kanda.

Kama walikuwa na nafasi ya kuomba msamaha ilikuwa ni wakati ule, pale anagalau wangeweza kusikilizwa, lakini kugoma kwao kwenda kwa kisingizia cha kitoto "usalama wao" 'ile ilikuwa ni dharau kwa wajumbe wa KK.

Hakuna mjumbe kichaa wa KK wa kuwafanyia fujo, wamevuna walichopanda, sasa waende mahakamani kama wakipenda, ingawa naamini wanajua hata huko mahakamani hawatavuna heshima yoyote, simply wameshapotea.
Kwani zito amepotea!?
Hivi mnajikuta kina nani?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Na mademu zake hao(japo ni rumors tu) huwa vipi, mbona hawi na mwanaume? Panapofuka moshi huwa tunaamini kuwa chini kuna moto, nitaendelea kuamini kuwa ni ME until proved wrong.


Wewe umeongea habari kubwa sana na fikirishi sana, mimi yangu macho na masikio tu.😨
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Wakienda mahakamani hawatalipwa tena na bunge, mpaka labda washinde kesi ndio watalipwa malimbikizo yao ya mishahara! ni sawa na kufukuzwa kazi, ukipinga mahakamani hulipwi mshahara mpaka ushinde kesi....
Mkuu mpaka sasa wale ni wabunge halali. Hadi tume ya uchaguzi itakaposema vinginevyo. Na chadema wakimuandikia spika kama alivyosema Mrema,watarudia kosa lile lile na mtakuja kulalamika JF huku mkikaidi kufuata taratibu.

Spika haamui nani awe mbunge au kinyume chake. Hiyo ni kazi ya NEC

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mpaka sasa wale ni wabunge halali. Hadi tume ya uchaguzi itakaposema vinginevyo. Na chadema wakimuandikia spika kama alivyosema Mrema,watarudia kosa lile lile na mtakuja kulalamika JF huku mkikaidi kufuata taratibu.

Spika haamui nani awe mbunge au kinyume chake. Hiyo ni kazi ya NEC

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Wabunge wa viti maalum wale,,,,Wanateuliwa na Chama...NEC hawahusiki nao sababu hawajatokana na uchaguzi wa NEC.
 
Mbona kuna watu wanashinikiza akina mdee waombe radhi, watasamehewa. Radhi gani ya kushinikiza
 
Hapa unaonesha upendeleo, unaipenda sana serikali ya CCM iliyotuharibia uchaguzi, huku ukiwaona kina Halima walioadhibiwa kwa matokeo ya kuharibiwa uchaguzi ule ndio wenye makosa na kuadhibiwa na chama chao, coz ni suala lililopo ndani ya uwezo wa chama chao, unakosea.

Nakuona kuna jambo unalikwepa, hutaki hawa jamaa warudie uchaguzi, bila kurudia uchaguzi ni kutwanga maji kwenye kinu. CCM wataendeleza mazoea yao ya rafu za uchaguzi kila mwaka, labda wapunguze "scale" ya rafu hizo. Nataka tutafute solution ya hili tatizo moja kwa moja, ili wakae wakijuwa, wakiharibu tena uchaguzi, utarudiwa [fundisho].
Unapofanya mjadala jaribu kuepuka kuweka watu unaojadiliana nao kwenye fungu kinzani na lako.
Kwa nini unanipachika niwe upande wa serikali? Siwezi kutoa maoni katika kujadili mambo bila kufungamana na sehemu hiyo ninayoijadili?

Niseme kukuhusu wewe. Tabia hii unayo sana ya kuweka watu kwenye mafungu hata kama hawapo huko. Siyo hapa tu, ni kila mahali unapoweka mawazo yako humu kwenye jukwaa la majadiliano. Huwa napata shida sana kujadili nawe kitu chochote, kwa sababu ya tabia hiyo.
 
Yeye Mdee Hana moral authority!
Anyamaze!
Atafute mume aolewe, atulie!
Uhuni alishaufanya sasa astaarabike!

Nusra anasemaje!? Ataongea ukweli kuhusu safari ya usiku Kwa usiku, toka gerezani Hadi bungeni! Gereji kuapishwa?
Nitoe maadili kidogo: Mume hatafutwi, mume husubiriwa!! Unamsubiri mume ukiwa mwaminifu!! bila kuruka ruka njia! Haya mambo ya kutafuta mume ndiyo yamechafua jamii yetu.
 
Pamoja na kwamba mdee na wenzake wataleta usumbufu wa kutoka bungeni pia najua 2025 watahamia ccm ila ukweli ni kwamba heshima waliokua nayo imeenda na maji .
Hao saiz ni sawa na condom iliyotumika hawana mvute Tena kisiasa,hata michango yao bungeni haina msisimuko km mwanzo ,
Saiz hata wakichangia point strong na yenye tija inageuka mavi tu hakuna anayejal michango yao na kuwapa attention.
Naamin hawana njaa ya pesa ila ndani ya mioyo yao hawana Aman kabisa wanaish kwa stress kwa kifupi Wana furaha feki na wanajua Waz kuwa watz nowdays hawana time nao
 
This is not good bahaviour
👇
20220517_162805.jpg
 
Mmekosa hoja mnakosoa kila kitu, sasa hadi mikao ya kike mnahisi kudharaulika.!
 
Kuna Padri mmoja amezaa na mwanamke sasa yule mwanamke anamnyanyasa sana yule padri maana kila akijaribu kuachana nae anamwambia nabeba huyu mtoto namleta hapo parokiani kwako!
Basi yule padri ananywea kimyaa!

Sasa ndio hii, hao wadada wanajua maujinga yote ya mwenyekiti ndio maana wanamdharau
 
Back
Top Bottom