Watakuwa wabunge kupitia chama gani?Nyie wafukuzeni kwenye chama ila sisi tutaendelea kuwatambua kama wabunge.
Mpka sasa hivi hawajajibu maswali yenye tija, kwa mfano: Nani aliwasainia fomu na kugonga mihuri? Nusrat Hanje amefika fikaje bungeni? Imekuaje process zote zile zilienda discreet kiasi kile mpka wameapishwa hakuna mtu aliyekuwa anajua? Na pia Leo asipoikana hyo nafasi yake ya ubunhe wa kupewa apite hivi asijilazimishe kuwa mwana Chadema. Aamie hata ccm maana nachi ni Chama
Ajishushe kwa Nani? Mbowe na Mdee Nani wa kusikilizwa?Wajishushe, maisha yaendelee ndani ya CDM.
Wewe utawapa ugali wa kula na watoto??? Msiwadanganye wakabaki kula hewa..hawana kazi nyingine hao jomba...ooohhhhChadema kindakindaki huku bado mmekumbatia ubunge, stop kidding me.
Option is simple, rudini Chadema muachie ubunge, au bakini na ubunge muondoke Chadema.
Msituchezee akili.
Unaonaje ikitokea umetaitiwa na jambazi ako na bastola then akunyoshee, mavi hatagonga vyupi kweli kabla hata ya kufyatuliwa risasiMe nawaambia kila siku,bila bunduki hao watu hawatakuwa na heshima.Bunduki zichezwe hata miaka 3 heshima itarudi.This time ni wafalme hao watu
Uliwafukuza wewe?Halima na wenzake waache kujihusisha na CDM kwani walishafukuzwa!
Wewe ni nani nchi hii? Hata ndani ya CHADEMA?Halima na wenzake waache kujihusisha na CDM kwani walishafukuzwa!
Mkuu Wana watoto hso ohoooo!Aisee nchini kwetu,uwezo wa waandishi wa habari kuuliza maswali ni mdogo sana
Sawa mkuu, ngoja tuone huko mbeleni. Huenda kwa sasa walichofanya ni kushusha tension iliyokuwepo kuonyesha wapo pamoja na chama then waendelee na harakati zaoMkuu hii kitu ipo kwenye mchakato wao. Hauwezi kuchukua hatua zaidi kwenda mbele kabla haujamaliza kwenye chama. Hapo wapo kimkakati zaidi. Wanakata rufaa za ndani, kwa sababu wenye maamuzi ni walewale lazima watawapiga chini. Sasa kitakachofuata wataingia mahakamani na hapo mchezo wote ndio utakuwa umefika mwisho.
Kituo ni mahakamani huku kwingine kote ni kukamilisha mchakato
Kwanini alienda bungeni kuapa? Kwanini na yule mwenzake alitolewa jela usiku na siku ya pili akaamkia bungeni kuapa?Kuna watu hapa Jf waliamini na bado wanaamini Halima Mdee anaweza kwenda kinyume na Mbowe.
Siyo rahisi.
Halima Mdee hawezi kuiacha Chadema hata akikumbatiwa na nani nje ya Chadema.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Maendeleo hayana vyama!
Mdee ndie ataekalia kiti cha Mbowe.Hao ndo wapambanaji wa kweli.
Ukiambiwa utoe uthibitisho wowote wa wao kushawishiwa na CCM huna. Hivyo usipende kuongea vitu vya kubuni. Hiyo ni mojawapo wa viashiria vya upungufu wa uelewa.Ukweli ulikuwa upi zaidi ya kushawishiwa na CCM na kuwarubuni..... hawa wadada wakajisahau namna walivyokuwa wanavurumishwa na hao hao ambao leo wamewakumbatia.
Hao ndo wapambanaji wa kweli.
Karata wameocheza kijanja sana mbumbumbu wengi hawataelewa u turn yao.Hii turning waliyoifanya Halima na wenzake siyo mchezo aisee maana expectation ya watu ilikuwa tofauti kwa kila upande walichokuja nacho kimewamaliza wote na kurejesha mpira kati, watakuwa walipima cons na prons wakaona heri yaishe kwa mujibu wa press hatujui yale ya nyuma ya pazia
Kama ni kweli wamedhamiria hivyo basi chama chao kitaona namna ya kudeal nao
Ila la pili kwa maoni yangu nadhani wale waliowarubuni maana kiuhalisia wapo wameona impact ya kile walichofanya wamegundua kuna jinai nyingi sana ambayo kama ikienda kwa vyombo vya sheria mambo yataharibika wakaona eeh hili tuachane nalo kaombeni msamaha ili haya mambo yaishe