Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,754
- 5,175
Mjifunze kuwa street smart maana mtaani nadhani unajionea hali ilivyo.Well, lakini pia mfumo wa kujiajiri nao haupo favourable kabisa, ili ujiajiri bongo kisha uje kutoboa ie. Business lazima uwe na mtaji mkubwa at least from 3M, niambie kijana alietoka chuo anapata wapi hiyo pesa, pesa chini ya hapo kutoboa ni ngumu sana, lakini pia tukumbuke hizi kazi za kujiajiri hazijawahi kumtoa mtu, huwa tunajipa moyo pambana ila kiuhalisia mafanikio yake mara nyingi ni hela ya kula na kulipa kodi ndio inayopatikana,
Mimi ni mhanga nimemaliza chuo mwaka jana sijui nini kitakachotokea huko mbele japokua kurudi nyumbani nimekaza japo maisha bado yanagonga kwenye mshono
Bahati mbaya kazi zinataka experience. Kitu ambacho hakipatikani vyuoni
Nyumba Hadi za ghorofa tunajenga na mafundi darasa la Saba ..
In general vijana wengi wa Tanzania ni wavivu. Huwezi compare na mkenya au mnigeria ambaye anakuja bongo hapa hana ndugu au jamaa na ndani ya mwaka ana maisha kuliko vijana ambao wamekulia hapa hapa bongo miaka yote.Tatizo vijana wa ckuiz Ni wavivu kupitiliza,Yaani kijana akishahitimu elimu ya chuo utamuona akizunguka maofisini na bahasha kutafuta white collar jobs ambazo Ni ngumu kupatikana.
Vijana wanatakiwa wajiongeze wajifunze kazi za mikono ambazo zitawawezesha kujiajiri.
Dunia ipo spidi kupita maelezo.Na hapo bado AI na robotics zinakuja chukua ajira zaidi ya 300,000,000 dunia nzima
Kuna maana hauwezi ajiriwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine sie hata ajira ziwe wazi wazi, kuna vigezo vinatutoa nje ya mfumo.
Na tusharidhikaaa, polee zao wenye matarajio ya ajira, wanabaki kufurahishwaa km sio kushangazwaa,
Jamaa wa Petroleum anaendesha bajaji, GPA 3.8
Namuangalia nasemaa hiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro uliwahi ongea naye au unamhukumu bure?Nlishasema we kajamaa nikashetani wewe... Ovaaa
Mtengeneze upya atakushukuruKuna dada mmoja alikuwa pini sana chuoni..kamaliza mwaka jana..nilimfukuzia sana lkn wapi alikuwa anaweka ngumu sana( nadhani alikuwa na mshkaji wake) sasa mwaka huu nipo kwenye mishemishe zangu si nikakutana nae sehemu anauza vitumbua...ameisha...ule uzur wake umepungua haswaaaaa...yani alishtuka kuniona akawa anavunga tu...nikamuungisha nikasepa zangu
Sikutaka kufanya lolote kwan nilijua tu huyu safar hii hachomoi..na zigo lote litaniangukia mm(gharama za kumtunza)
kufurahishwaa km sio kushangazwaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine sie hata ajira ziwe wazi wazi, kuna vigezo vinatutoa nje ya mfumo.
Na tusharidhikaaa, polee zao wenye matarajio ya ajira, wanabaki kufurahishwaa km sio kushangazwaa,
Jamaa wa Petroleum anaendesha bajaji, GPA 3.8
Namuangalia nasemaa hiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiwooooohkufurahishwaa km sio kushangazwaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kujiajiri ndo kunawatoa watu, ila inatakiwa juhudi na uthubutu, ukiajiriwa mishahara ipo caped , unless uwe mwizi kazini ndo unaweza kupata maendekeo chap chap.Well, lakini pia mfumo wa kujiajiri nao haupo favourable kabisa, ili ujiajiri bongo kisha uje kutoboa ie. Business lazima uwe na mtaji mkubwa at least from 3M, niambie kijana alietoka chuo anapata wapi hiyo pesa, pesa chini ya hapo kutoboa ni ngumu sana, lakini pia tukumbuke hizi kazi za kujiajiri hazijawahi kumtoa mtu, huwa tunajipa moyo pambana ila kiuhalisia mafanikio yake mara nyingi ni hela ya kula na kulipa kodi ndio inayopatikana,
Mimi ni mhanga nimemaliza chuo mwaka jana sijui nini kitakachotokea huko mbele japokua kurudi nyumbani nimekaza japo maisha bado yanagonga kwenye mshono
Wewe kuingia kwenye mfumo haimaanishi kuwa na wanao nao wataingia kwenye mfumo huoAhahaha wenzako tulishaibgia kwenye mfumo miaka mingi sanaaa... Pambaneni majobless
Ile sio ajira. Bashe alikuwa anatengeneza.matajiri. we fikiria unapewa vitu vyote vile.Si kuna ajira za bashe kwenye plot za kulima huko vijijini
Ni mawazo yako tu na baadhi ya hao uliowakuta.Na ndio mwisho wa yote kudanga, ushahidi ninao