Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 773
- 1,355
Unamuombea mwana mabayaKuna jamaa kamaliza saut,afu karudi kwao kijijin hatak kukubaliana na hali kuwa kamaliza chuo na hana mishe,kila siku namuona anachomekea na kuvaa ksmart vikadeti vyake vya chuo na shati za mtumba
Wenzie tulishapigika kitambo sahv tunaendesha boda boda ila najua baada ya nusu mwaka atanyooka tu hasa huto tukadet tukianza kuchanika kwenye magoti
Thanks Pal' Awiaman oozaGood one π―
mkuu mtu analima heka kumi anaambulia gunia 2Dahhh ππππππ
Hahaha mwambie na post zingine awe ana-save.Huu huzi naufatilia mpaka uishe kuna kijana wangu apa nataka aanze kusoma comment ya kwanza adi mwisho
Kijna tangu kaanz chekechea hajui life la kujitegemea.kila ni mama/ baba afu aje mtaan ajiendesh haiwezkn,kijn tumezoea kujidekeza snaa na ubishoo mwngiSiku hizi mitaa imepambwa na degrees za kutosha kutoka mavyuoni, Lakini cha ajabu vijana wamekua wakitia huruma kuliko hata aliyemaliza la saba, WANACHUO wengi wanapata taabu sana huku mtaani kuliko hata raia wa kawaida, kiukweli inahuzunisha. Pale kijana anapotoka chuo na matarajio makubwa Lakini ghafla maisha ya mtaa yanazima ndoto zake.
Yapi matunda ya mfumo wetu wa Elimu? Au ni uzembe wa vijana kutojituma wawapo mtaani?
#MyCountryPeople.
Mwisho wa siku hata wewe na elimu yako unayoiona bora kuliko waliopitia VETA unajikuta unaambiwa ili uwe pale walipo wao na wewe onyesha kitu ambacho huna kwa wakati huo.Hata hao wanafunzi wa veta, tumekutana nao huko kwenye Ma-field, wapo shallow sana, nadhani kinachowabeba ni ile kufanya kazi mda mrefu so wanakuwa na experience kubwa
ila we jamaa dah πNa alikuwa hatombi alikuwa anakusanya nguvu za kusoma ππππ
ni kweli kakaHahaha mwambie na post zingine awe ana-save.
Atakushukuru baadae!
Majobless tumebaki kubet tu balaaa
Mimi madogo wa chuo nawaambiaga hakikisha kabla ujamaliza boom la mwsho ununue viwalo vya kutosha
Depo la mtaani huku utavaa boksa inaisha hadi inabaki na kamba kama nanga
Serikali iangalie kama inashindwa kuaccomodate graduates basi waombe mazingira vijana wakajarbu ng'ambo
Na ndio mwisho wa yote kudanga, ushahidi ninaosiku mtaji ukikua akafanya makubwa mnaanza kusema anadanga
Tunakunywa, sio kuvutaa.Nyie wazee wa upinde mnavutaga bangi kwanza nini... Me sikuelewag kabisa yan...
Ndo hivyo yaanNi kweli lakini kufundisha kama una GPA kubwa mnaweza itwa watano tu so chances za kutoboa bila connection ni kubwa. Ukiangalia Mitandaoni nyingi zinakua re-advertised maana hakuna applicants wenye vigezo wameomba.
Kule hakuna Worldoil.Au aende kwa muha wa worldoil
Elimu imekaa kana kwamba ukimaliza ni kazini one way, badala yake mtaa unakutaka uwe na elimu ya kuchakata fursa zilizopo na kuzijeuza biashara. Hapa ndo vijana wengi wanapigwa KO.Siku hizi mitaa imepambwa na degrees za kutosha kutoka mavyuoni, Lakini cha ajabu vijana wamekua wakitia huruma kuliko hata aliyemaliza la saba, WANACHUO wengi wanapata taabu sana huku mtaani kuliko hata raia wa kawaida, kiukweli inahuzunisha. Pale kijana anapotoka chuo na matarajio makubwa Lakini ghafla maisha ya mtaa yanazima ndoto zake.
Yapi matunda ya mfumo wetu wa Elimu? Au ni uzembe wa vijana kutojituma wawapo mtaani?
#MyCountryPeople.
Acha tu mengine sio ya kuyasimulia na kuyafurahia, kuna sister mmoja amesomea engineering Ila maisha haya acha kabisa ngoja niishie hapaDaaah πππππ π π π embu tusimulie kidogo mkuu