Hali ya wanachuo mtaani

3.8 anaendesha bajaji? Huyo naye hayuko serious mbona vyuo kibao tu vime re advertise nafasi za kufundisha kwa GPA hiyo hasa kwa kozi yake Iko rare so hata tutorials ni wachache mnoo.
 
Hiyo kozi Ontario ilimshinda akaacha chuo😂
 
Iko hiv ... Elimu na ajira vimekuwa implemented ili kuweka matabaka kati ya masikini, viongozi wa nchi na matajiri simply means kwa zamani ni watoto wa viongozi na matajiri tu ndio walikuwa wanafaulu na kuendelea na elimu za juu hivyo ajira serikalini ilikuwa ni kwaajili ya watoto wa hao hao viongozi na matajiri ili kuendeleza unyonyaji kwa masikini na ndio maana ajira ni chache na ni kwasabab ili tengwa kwa watu maalum tu na si vingenevyo ... So imagine mtoto wa masikini ambae hakupigiwa hesabu ya Elimu na ajira kwa kifupi hakuwa kwenye system yao nae eti asome na ajira apate unazani nin kitatokea
.. Lazima mlalamike ajira chache coz havikuwa implemented kwaajili yenu but mnalazimisha tuh
 
3.8 anaendesha bajaji? Huyo naye hayuko serious mbona vyuo kibao tu vime re advertise nafasi za kufundisha kwa GPA hiyo hasa kwa kozi yake Iko rare so hata tutorials ni wachache mnoo.
Unadhani ni rahisi hivyooo?? Sijui huenda alijaribu akakosaa, sema uwe na connection hapa nchini, vinginevyo utakulaa vumbii tyuuh.
 
Yes, upo sahihi, kujiajiri ninakozungumzia mimi ni kwa huyu mhitimu ambaye ameamua kuwa machinga na kuwa bodaboda ambapo ndio asilimia kubwa wameangukia huko, waliotoboa ni bahati, channel plus wenye mitaji mikubwa ambapo kati ya wahitimu kumi wenye hivo vitu hawazidi wawili.
 
Unadhani ni rahisi hivyooo?? Sijui huenda alijaribu akakosaa, sema uwe na connection hapa nchini, vinginevyo utakulaa vumbii tyuuh.
Ni kweli lakini kufundisha kama una GPA kubwa mnaweza itwa watano tu so chances za kutoboa bila connection ni kubwa. Ukiangalia Mitandaoni nyingi zinakua re-advertised maana hakuna applicants wenye vigezo wameomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…