Hali ya wanachuo mtaani

Ndo maana nikimaliza gamba langu hili, nataka miende hotel management n tourism, nikitoka hapo niwe mpishi au muongoza watalii.

kunalipaa aseee.
 
ila kweli wanachuo wakiwa mtaani wanakuwa aje sijui. Uwiiiiih
 
😅😂 mnalia ajira ngumu na ID zenu fake wakat kilasiku humu JF mnajifanya mna maisha mazuri mnatutukana wafanyakaz.... Mnasema mna maisha mazuri mnamiliki nyumba na magari 😅😂 vijana wa bongo hopeless kabisa ndio maana mnashindwa kusaidika...
Ok sawa jiingizeni ktk Bodaboda maana huwa mnasema bodaboda ana pesa nyingi kuliko mtumish wa umma 😅😂
 
Petroleum ilikua ni faculty ya kisiasa?? How?
Baada ya ugunduzi wa gesi, wachina waliojenga Bomba wakatoa scholarships za watu kusomea Petroleum and related fields, watu wakahamasishwa, serikali ikachukua the best kusomea hiyo course.

Wakasoma, walipomaliza Utawala ukabadilika, ukasitisha uwekezaji wote
Petrobas, Stateoil waliokuwa wakifanya utafit deep sea wakaahirisha utafiti na kurudi kwao maana mazingira ya uwekezaji yalikuwa hayako upande wao.

Halliburton walikuwa na Ofisi zao karibu na India CC nao wakaondoa.

Ukijaribu ona, ni siasa ndo chanzo cha yote kutokea
 
Uzoefu unapata Kwa kufanya vibarua..
Hao civil engineers hawataki kufanya vibarua
Kuna watu wamekuwa wasuka nondo wakutegemewa ila hawajawahi enda veta wala wapi, ila haumchengi kwenye kusuka nondo, muda mwingine wanawakosoa hadi structural eng,
Wengi wamejifunza kwa kuangalia, kutumwa, kufanya.

Mtu akishakuwa na degree yake hawezi fanya.

NB:Binafsi huwa nafanya kazi yoyote ile sababu, unaowaonea aibu ukiugua watakucheka
 
Hahaaaaa we kijana...
 
Ndo maana nikimaliza gamba langu hili, nataka miende hotel management n tourism, nikitoka hapo niwe mpishi au muongoza watalii.

kunalipaa aseee.
Indeed you have a very awesome target, I reckon this gameplan of your's will see you through financial constraints out there.
All the best.
Ndo maana nikimaliza gamba langu hili, nataka miende hotel management n tourism, nikitoka hapo niwe mpishi au muongoza watalii.

kunalipaa aseee.
 
Kheeeeh makubwaaa haya, duuh sasa kwann inaendelea kuwepo. Bas ifutwee tyuuh.
 
Wanaosoma wana ndoto labda mradi wa LNG utawaokoa, vinginevyo waombe kazi Oilcom, Lakeoil, WorldOil, Camel etc
Huko kwenyewe kupata ni connection, huyu jamaa nlishawahi kukaa nae kuzungumza, aliomba Oil com na Lake oil kule kule home, cha ajabu alikataliwa katuuuu.

Yaan hadi namuonea huruma kwa kweli, kaamua achukue bajaji na kuwa afisa usafirishaji.
 
Kama sio mwenzao hupewi unaeza hujumu kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…