Bora yeye ana uhakika wa kupata laki 6 kwa mweziKuna dada mmoja alikuwa pini sana chuoni..kamaliza mwaka jana..nilimfukuzia sana lkn wapi alikuwa anaweka ngumu sana( nadhani alikuwa na mshkaji wake) sasa mwaka huu nipo kwenye mishemishe zangu si nikakutana nae sehemu anauza vitumbua...ameisha...ule uzur wake umepungua haswaaaaa...yani alishtuka kuniona akawa anavunga tu...nikamuungisha nikasepa zangu
Sikutaka kufanya lolote kwan nilijua tu huyu safar hii hachomoi..na zigo lote litaniangukia mm(gharama za kumtunza)
Serikali haiwezi ajiri watu wote hata watu 50,000 kwa mwaka haina uwezoKila mwaka wanaongezeka serikal ipo kimya tu wala hata haijal
We zile siasa unaziamini?Si kuna ajira za bashe kwenye plot za kulima huko vijijini
Mtizamo wa elimu inatakiwa ubadilishwe pia na muda wa kukaa shuleni inatakiwa upunguzwe pia. Ili mtu akitoka huko awe na start up ama basic knowledge tu aingie mtaani aanze Kama kuuza mahindi,kuchoka vitumbua awahi ajipange mapema.Mmmmh,,,, kusoma ni vizuri, swali ni je UNASOMEA NINI?
Kwamba kuuza kande ambazo Nusu Kilo anaipata 1500 na kuuza kwa 4000 waona ndogo?Kuna mdada hapa kamaliza udom mwaka juzi, yupo anauza kande! Ni huzuni kwakweli.. kwenye elimu wengi wametapeliwa.. na huu ni utapeli wa wazi
VETA hawawezi kukufundisha kila kitu, wao wanakuonesha tu mwngine unajiongeza weweHata hao wanafunzi wa veta, tumekutana nao huko kwenye Ma-field, wapo shallow sana, nadhani kinachowabeba ni ile kufanya kazi mda mrefu so wanakuwa na experience kubwa
Ni kweli.Je hawa wahitimu wanawekewa mazingira mazuri ya kujiajiri?Serikali haiwezi ajiri watu wote hata watu 50,000 kwa mwaka haina uwezo
Na kwa mwaka wanahitimu zaidi ya watu 100,000
Hata kudanga washakuwa wengi kwa sasa wanashindana na darasa la 7, hao wana zinazobana wao wana mabwawaTatizo lenu mnadharau biashara.
Kuna wadau hapo juu wanawashangaa graduates mmoja anauza kande, mwingine vitumbua.
Cha ajabu hapo ni kipi hasa?? Ndivyo biashara inavyoanza kiugumu, siku mtaji ukikua akafanya makubwa mnaanza kusema anadanga. Akili mgando kabisa hizi
Hakika huu Ni ujumbe mzuri Sana mkuuMleta agenda hii uko sahihi kwa 100%
Shida ya ajira imekuwa kubwa mno
Na inaendelea kuwa kubwa sana
Ukiangalia mfumu ya elimu umekaa kibiashara pia
(Yaani vyup pia ni biashara inafanywa)
Maana unalipa Ada ili upate elimu
What next baada ya kumaliza sio issue kwa
Wanabaki ku focus kupata batch mpya
Hili jambo linahitaji mjadala mpana labda pia kubadilisha mfumo mzima wa elimu.
Ifike mahali tuachane na bookish
(Elimu ya kuwinda white colour jobs)
Na kwenda elimu ya ufundi na vitendo zaidi
Ama elimu ya kumuwezesha kijana kufanya jambo la
Either
Ufundi
Ukulima(hapa ardhi tunayo maji tunayo)
Uvuvi(bahari na maziwa tunavyo)
Ufuguji wa kisasa(Ardhi kubwa ipo)
Uzalishaji wa nguo(kurejesha viwanda vya pamba na kuanza kuzalisha vitambaa)
Nk
Hayo ni baadhi ya madadililo yanapaswa kufanyika top down
Kimfumo na mtu mmoja mmoja
Nawasilisha.
Kuna watu wanauza sambusa, juisi na maisha yanasonga vizuri tuNani aliyekudanganya mdogo wangu kuwa kujiajiri hakujawahi kumtoa mtu?
Shida bado haujajikubali; akili yako imelenga status job ndio kila kitu.. umeamka asubuhi umechomekea umevaa tai unaenda kwa office unapigwa kiyoyozi.
Kuna watu wamejiajiri pesa wanayoingiza kwa mwezi mbunge akasome
ukitaka ufe mapema, tegemea kilimo hasa kulima na kusubiri mvua inyeshe. utakufa
usione wakulima wanachagua ccm, ni kilimo kimewaharibu akili
Shida inakuja hao Civil hawana uzoefu wowote ule,Nyumba Hadi za ghorofa tunajenga na mafundi darasa la Saba ..
Halafu wenye vyeti civil engineering... Wana hangaika kutafuta kazi
Petroleum ilikua ni faculty ya kisiasa?? How?Hawakuona kwamba ile ilikuwa kiasiasa?
Pride and EgoKabla ya kupata ya milioni lazima uanzie chini...wangekubali kazi za vibarua kupata connection za kuja kupata za mamilion baadae
Shida inakuja hao Civil hawana uzoefu wowote ule,
Hao Darasa la Saba wana uzoefu
Sasa kama wamezoea kukariri wategemea nini?Kiukwel kuna wengine hata kama ajira zipo lakin hawez kupata
Kuna watu wana maGPA makubwa lakin kwenye interview ni madomo zege