Ndo iko hivyo...
nina best friend wangu wa toka kindergarten ni boy, nampenda sana yani alikua hata darasa zima au shule nzima iniseme vibaya yeye atakua upande wangu na atanitetea hata ikibidi kuwapiga wengine atawapiga but tukiwa pekeyetu ananikanya ananirekebisha bila unafki..
Yani naweza nikawa na shida ambayo naogopa hata kuzungumza na mama yangu mzazi lakini yeye anakua tayari kuniskiliza..he is the one ambaye nikiwa na stress naweza nikampgia simu nikalia tuuuu bila kuongea chochote nikimaliza ananibembeleza ananicomfort na maisha mengine yanaendelea...
Ni mtu ambaye nikiwa na changamoto yoyote anaweza akanotice bila hata kumwambia. amenifundisha vitu vingi sana ambavyo nlikua sijui....nakumbuka hata wakati tuko shule alikua hakubali yeye afaulu mimi nifail alikua anahakikisha by any means nafanya vizuri na mimi...
he is kindly wise , caring and ako na good heart to me, hajawahi kunisnitch hata siku moja na hajawahi hata kunitongoza, naweza kusema anachangia pia kunawirisha mahusiano yangu na mtu wangu cause ananiambiaga kila kitu men wanataka kufanyia na vitu kama hivyo...mpenzi wake anabahati sana kuwa nae
So guys urafiki upo, chamsingi tu ni kuzingatia mzivuke mipaka na kujiheshimu na kumuheshimu kila mmoja basi[emoji3526][emoji3526]