Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,019
- 17,841
Sawa.ngoja niifuatilie hyo research
Sawa.ngoja niifuatilie hyo research
kunge kuwaga na research iliyofanyikaga ikabaini kitu hapo tungepata cha kujifunza hapo kila mmoja aamini anachokiamini
Asicho kijua n kwamba wazaz ndio Mungu wa pili apa dunian Sasa yeye mwache alete ujuaji alafu wazaz wafe aje kulia na walimwengu sababu apa dunian si alijileta yeye mwenyewe kashushwa tu kutokea mawinguni.Ngoja niwaite wazee wa kilingeni Mshana Jr na Dogoli kinyamkela tuone wao wanasemaje kuhusu hili
Kaka hamna kipaji. Kila mtu anatakiwa akiwa hajui kitu.Kaka acha kijicho
Wao ni tafsiri ya kipaji..!
Pale mrundikano wa laana unapokunya hakuna scale.!
Kaka unazungumzia water?Kaka majini yana utaratibu mwingi sana
Natamka kiimani sana ila najua ina tafsiri.. 🤗
Siamini.malaika wapo duniani
Noma sana mkuu.Si mchezo, shida hapo inakuja ni kuelezea uhalisia wa nini hasa kilichopo ambacho kinyume na hayo unayosema hayapo hapo ndio mtiti.
Niko poa kabisa, kwema?u good?
Kipaji kipo,Hakuna laana,
hakuna karma,
hakuna uchawi,
Hakuna uganga,
Hakuna kipaji,
Hakuna Mungu,
Hakuna shetani,
Hakuna mapepo,
Hakuna majini,
Hakuna jinamizi,
Hakuna zimwi,
Hakuna pepo,
Hakuna jehanamu,
Hakuna malaika,
HAKUNA...
HAKUNA ULIMWENGU WA GIZA.😎
Tutabishana hadi asubuhi mkuu.Kipaji kipo,
Nzuri tu,fresh sana,za masiku bhana
Hapa ni mwendo wa kuwamba ngoma tu kila mtu anavuta kwake, kila mmoja anaona yeye ndio sahihi na upande wa mwenzie kunakuwa na majibu ya kudhania.kunge kuwaga na research iliyofanyikaga ikabaini kitu hapo tungepata cha kujifunza hapo kila mmoja aamini anachokiamini
Utagundua hofu ina nguvu mno(nocebol) kuleta madhara hadi ya kudumu na kifo ila matarajio chanya hayana nguvu na faida yake si ya kudumu, ni ajabu.ngoja niifuatilie hyo research
Hivi kipaji kinapatikanaje?Kipaji kipo,