hakuna kitu kinaitwa laana,Ona hizi fix.

hakuna kitu kinaitwa laana,Ona hizi fix.

Hakuna laana,
hakuna karma,
hakuna uchawi,
Hakuna uganga,
Hakuna kipaji,
Hakuna Mungu,
Hakuna shetani,
Hakuna mapepo,
Hakuna majini,
Hakuna jinamizi,
Hakuna zimwi,
Hakuna pepo,
Hakuna jehanamu,
Hakuna malaika,
HAKUNA...

HAKUNA ULIMWENGU WA GIZA.😎
 
Vp hawa ambao ni wema na hawana watoto hadi leo?
tofauti na laana kuna matatizo binafs ambayo unaweza ukayapitia ukazani ni laana kwa hiyo wengne wanamapungufu yao binafsi hata hao inge tokea mmoja wao anazaa basi hatuwez kusema ni laana hili tutaamini couse aliosema hawata zaa ni wa kike pekee ila wa kiume wanazalisha
 
Hakuna cha laana, baraka wala karma. Hayo ni maneno tu hayana uhalisia.

Unaweza tenda mabaya na kupeta fresh tu kama Hangaya.

Unaweza kuwa mwema na kikakuramba hadi ushangae.

The chips will always fall where they may.
Dogo hujakutana na vizingiti visivyo na tafsiri.!

Ila baki ulipo ni jambo jema pia
 
Hakuna laana,
hakuna karma,
hakuna uchawi,
Hakuna uganga,
Hakuna kipaji,
Hakuna Mungu,
Hakuna shetani,
Hakuna mapepo,
Hakuna majini,
Hakuna jinamizi,
Hakuna zimwi,
Hakuna pepo,
Hakuna jehanamu,
Hakuna malaika,
HAKUNA...

HAKUNA ULIMWENGU WA GIZA.😎
Kaka Mondi na Alikiba mziki wamejifunzia wapi...! ?

Ajabu wana ladha.!?
 
Dogo hujakutana na vizingiti visivyo na tafsiri.!

Ila baki ulipo ni jambo jema pia

Wajinga na wavivu wa kufikiri mnapenda sana kujificha kwenye kichaka cha "hujakutana na vizingiti".

Wamatumbi na ujinga:

Screenshot 2025-08-04 122645.png
 
tofauti na laana kuna matatizo binafs ambayo unaweza ukayapitia ukazani ni laana kwa hiyo wengne wanamapungufu yao binafsi hata hao inge tokea mmoja wao anazaa basi hatuwez kusema ni laana hili tutaamini couse aliosema hawata zaa ni wa kike pekee ila wa kiume wanazalisha

Kuna a lot of moving parts kwenye kisa chako. Hapo theory ya laana doesn't hold water.
 
Hiyo ni pure emotional blackmail inayotumiwa na wazazi au ndugu waliofeli maisha ili kuwalazimisha watoto wao wawasaidie kwa nguvu. Mtu timamu huwezi kutumia vitisho vya laana kudai upendo au msaada.
Mkuu usiwalishe matango pori kumbuka wazazi wako ndo wamekuleta duniani sehemu ya nguvu yao ipo kwako wakitaka wachukue chao huwezi wafanya lolote
 
Mkuu usiwalishe matango pori kumbuka wazazi wako ndo wamekuleta duniani sehemu ya nguvu yao ipo kwako wakitaka wachukue chao huwezi wafanya lolote
Wazazi wametuleta duniani kwa sababu ya kukutana kwa sperm and egg, huo ni mfumo wa kibaolojia na sio kwamba walifanya miujiza. Hakuna nguvu ya siri inayobaki kwangu, DNA ikishajitengeneza mimi ni kiumbe huru. Grow up, acha kuishi kwenye ramli za kale.
 
Back
Top Bottom