Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,245
- 30,517
Hakuna cha laana, baraka wala karma. Hayo ni maneno tu hayana uhalisia.Laana haipo kwa maana ya hayo madanga yaliyokosa kujipata
Laana sio Msemo wa mazoea kama wamatumbi wameita.
Laana ipo kwakuwa kila kitu kinajirudi 'Karma
Unaweza tenda mabaya na kupeta fresh tu kama Hangaya.
Unaweza kuwa mwema na kikakuramba hadi ushangae.
The chips will always fall where they may.