Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,019
- 17,841
Basi utakuwa hata haujui nature inafanya kazi vipi.Mi naishi kwenye nature
Labda nikudokeze tu, nature is neutral, haina upendeleo na haiwezi kusikiliza maneno ya wazazi wako tu.
Basi utakuwa hata haujui nature inafanya kazi vipi.Mi naishi kwenye nature
UmeakiriSijui walijifunzia wapi, lakini walijifunzia. Hawakuzaliwa nao, yaani hawana vipaji.
akilini mwa mtuiko wapi?
Hapo sasa kila upande una ushahidi wake, ndio maana nauliza ukweli ni upi?Mimi nawafahamu wengine wenye story kama yako ila wao walizaa na wanapeta hadi leo.
Vp hawa ambao ni wema na hawana watoto hadi leo?
Si mchezo, shida hapo inakuja ni kuelezea uhalisia wa nini hasa kilichopo ambacho kinyume na hayo unayosema hayapo hapo ndio mtiti.Hakuna laana,
hakuna karma,
hakuna uchawi,
Hakuna uganga,
Hakuna kipaji,
Hakuna Mungu,
Hakuna shetani,
Hakuna mapepo,
Hakuna majini,
Hakuna jinamizi,
Hakuna zimwi,
Hakuna pepo,
Hakuna jehanamu,
Hakuna malaika,
HAKUNA...
HAKUNA ULIMWENGU WA GIZA.😎
kwa hiyo nini kinasababisha wasizae?Kuna a lot of moving parts kwenye kisa chako. Hapo theory ya laana doesn't hold water.
Ulichoeleza ni sahihi kwa maana ndio inapaswa iwe hivyo na ndio maana mimi nauliza ni chanzo kipi cha nguvu ambacho ndio kinaleta athari kwa aliyelaaniwa? Lakini kwenye uhalisia wa maisha yetu ya kiafrika kuna baadhi ya matukio ambayo ni kama yanaeleza kitu tofauti na ulichoeleza.Wazazi wametuleta duniani kwa sababu ya kukutana kwa sperm and egg, huo ni mfumo wa kibaolojia na sio kwamba walifanya miujiza. Hakuna nguvu ya siri inayobaki kwangu, DNA ikishajitengeneza mimi ni kiumbe huru. Grow up, acha kuishi kwenye ramli za kale.
Nguvu inayomtesa mtu ni hofu yake mwenyewe na placebo effect tu.Ulichoeleza ni sahihi kwa maana ndio inapaswa iwe hivyo na ndio maana mimi nauliza ni chanzo kipi cha nguvu ambacho ndio kinaleta athari kwa aliyelaaniwa? Lakini kwenye uhalisia wa maisha yetu ya kiafrika kuna baadhi ya matukio ambayo ni kama yanaeleza kitu tofauti na ulichoeleza.
Asante sana.Hiyo ni pure emotional blackmail inayotumiwa na wazazi au ndugu waliofeli maisha ili kuwalazimisha watoto wao wawasaidie kwa nguvu. Mtu timamu huwezi kutumia vitisho vya laana kudai upendo au msaada.
hao unaoona haijawapata inawezekana hata mzazi mwenyew anamakosa juu ya mwanae kwahyo hata akitamkia haiwezi kumpata lakini kama mzazi kweli umemtendea lenye maumivu ndani yake hakika itakupata hata kama siyo wewe itakipata kizazi chakoNguvu inayomtesa mtu ni hofu yake mwenyewe na placebo effect tu.
Mbona wapo watu wengi tu wanaogombana na wazazi wao na hakuna kitu chochote ambacho huwa kinabdilika kwenye maisha yao?
Nadhani hiyo ni nocebo effect badala ya placebo.Nguvu inayomtesa mtu ni hofu yake mwenyewe na placebo effect tu.
Mbona wapo watu wengi tu wanaogombana na wazazi wao na hakuna kitu chochote ambacho huwa kinabdilika kwenye maisha yao?
Hapa sasa umeongea kama mtu aliyeenda shule.Nadhani hiyo ni nocebo effect badala ya placebo.
Kwahiyo hapo kwa nilivyokuelewa ni kwamba kinachomfanya mtu apate madhara kama matokeo ya laana ni hofu yake inakuwa nocebo effect ila kwa asiyekuwa na hofu hawezi kuathiriwa na chochote?
Hiyo unayosema ukimpiga mzazi na wewe utapigwa ni stori za kufundishia watoto wadogo tabia njema chekechea. In reality, watoto watakupiga au kukuheshimu kulingana na jinsi unavyowalea na kuwaonyesha upendo, sio kwa sababu ya karma au laana ya kishirikina.hao unaoona haijawapata inawezekana hata mzazi mwenyew anamakosa juu ya mwanae kwahyo hata akitamkia haiwezi kumpata lakini kama mzazi kweli umemtendea lenye maumivu ndani yake hakika itakupata hata kama siyo wewe itakipata kizazi chako
Kama ingekuwaga hofu mbona kuna mambo mengne hata hofu haihusiki mfano kufilisika au kuwa na matatiyo ya akili
Vile vile siyo kila laana lazma utamkiwe kuna zingne inakupata automaticall mfano ukimpiga mzazi wako hata wewe ukikua watoto zako watakupiga
kwa hiyo nini kinasababisha wasizae?
kunge kuwaga na research iliyofanyikaga ikabaini kitu hapo tungepata cha kujifunza hapo kila mmoja aamini anachokiaminiHiyo unayosema ukimpiga mzazi na wewe utapigwa ni stori za kufundishia watoto wadogo tabia njema chekechea. In reality, watoto watakupiga au kukuheshimu kulingana na jinsi unavyowalea na kuwaonyesha upendo, sio kwa sababu ya karma au laana ya kishirikina.
Kuna research maarufu sana ilifanywa na mwanasayansi anaitwa Walter Cannon na wengine wengi baada yake kuhusu kitu kinachoitwa psychogenic death au voodoo death, utafiti ulionyesha kuwa watu waliokuwa wanakufa kwa laana za machifu huko nyuma, walikuwa wanakufa kwa mshtuko wa mfumo wa neva uliosababishwa na hofu ya kufikirika, na sio hiyo nguvu sijui laana.kunge kuwaga na research iliyofanyikaga ikabaini kitu hapo tungepata cha kujifunza hapo kila mmoja aamini anachokiamini
ngoja niifuatilie hyo researchKuna research maarufu sana ilifanywa na mwanasayansi anaitwa Walter Cannon na wengine wengi baada yake kuhusu kitu kinachoitwa psychogenic death au voodoo death, utafiti ulionyesha kuwa watu waliokuwa wanakufa kwa laana za machifu huko nyuma, walikuwa wanakufa kwa mshtuko wa mfumo wa neva uliosababishwa na hofu ya kufikirika, na sio hiyo nguv sijui laana.
Facts don't care about your feelings or beliefs. Unaweza ukalala ukiamini unaweza kuruka angani bila mabawa, lakini ukijirusha ghorofani gravity itakuvunja miguu tu.