Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 17,661
- 56,944
Mara ooh mama yako akikwambia maneno mabaya utateseka sana kwenye hii Dunia , uongo
Baba yako akivua ngua akanyoosha uume juu huku akisema kama kweli wewe ni mwanangu nimekuzaa ufe ahivi unakufa hapohapo , uongo
Dada yako akikasirika akavua chupi akakupiga nayo utateseka maisha yako yote, uongo
Usipowasaidia wazazi wako,ndugu wakikasirika na kukunenea maneno mabaya basi lazima utese tu, uongo
#Be open minded