Hakuna Kiongozi Mbovu nchi hii kwa sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

Dhambi siyo neno la kidini. Ni suala la maadili tu. Watu wamelikoleza kwenye udini for no obvious reason. Hata ukipiga ngumi ukuta umefanya dhambi na mshahara wake ni maumivu mkononi mwako. Sin is going against the law, ANY LAW.
Nilisoma mada ya eethicschuoni sikuwahi kukuta msamiati wa sin kama kinyume cha kanuni au sheria za kimaumbile. au za kijamii
Dhambi nafahamu ni neo la dini kwenda kinyume na sheria za mungu.
 
Huyo anacho kifanya bila kujua, Ni kuwaforce wawe mazingira mapya na ya hadhi tofaut na vile. Baada ya Muda watakua sehem zingine nzuri,

Hawawezi kuacha maan wengine ukahaba umeingia Kwenye DNA
 
Nilisoma mada ya eethicschuoni sikuwahi kukuta msamiati wa sin kama kinyume cha kanuni au sheria za kimaumbile. au za kijamii
Dhambi nafahamu ni neo la dini kwenda kinyume na sheria za mungu.
Dhambi ni uhalifu. Going against a law. A moral or physical law. Watu wa dini wamelibatiza maana hiyo unayoisema but it isn't necessarily so.
 
Kuna vita zingine ni kupoteza muda na rasilimali tu.

Ukahaba upo hata kabla ya Kristu, hawezi kuumaliza. Makahaba wanapunguza kesi za ubakaji.

NB: Siungi mkono dhambi ya uzinzi na uasherati.
Sasa kama ni kura yenye sura mbili ya kahaba na Chalamila, ungelimpigia nani?
 
Dhambi ni uhalifu. Going against a law. A moral or physical law. Watu wa dini wamelibatiza maana hiyo unayoisema but it isn't necessarily so.
Bibliabina ina m9lenia 2+ sasa jweli hilo neno limeanza ba wanafaksafa wa kigiriki?
 
Faida za uwepo wa dada poa.
1. Kudumu kwa ndoa: ni heri kufanya mapenzi na kahaba, kuliko kuongeza mke wa 2,
2. Hakuna vitendo vya ubakaji, ulawiti.
3.
4.
5

MADHARA
1.
2.
3
 
Huyu mkuu wa mkoa wa dar ningemuona wa maana sana kama angetumia nguvu kubwa kupambana na wanaofuja fedha za uma ndani ya mko kuliko hiki anachokifanya maana atafeli vibaya mno
Utapambana vipi na biashara ambayo haionekani
 
mamake tu malaya..wake zetu tu malaya...umalaya si kuexchange sex to hela matumizi...ingekuwa westen ukiolewa unachangia 1/2 matumizi ya nyumbani....na umalaya umehalalishwa ...hapa tz au africa ukioa ina maana unaexchange sex to money au care...malaya kawaacha nyumbani kwake anawafuata hao walijitangazia uhuru.... ila vichwa dizaini ile havinaga kokwa ndani
 
Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia!

Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo!

Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea kuufanya!.Jana nimeona kwenye mitandao na vyombo mbalimbali vya habari akizunguka kwenye jiji lenye karaha na raha la Dar es salaam eti akitafuta Madanguro ili yavunjwe na shughuli za wanawake kuuuza miili yao ikomeshwe!

Aliyekwambia kuvunja majengo ni kukomesha biashara ya madada poa ni nani?,Utavunja jengo sawa,je utavunja na roho ya ukahaba ya udada poa?

Aliyekwambia kuvunja nyumba walizokuwa wakifanyia biashara zao kutakomesha biashara zao ni nani?,Umeenda mbali zaidi hadi kunukuliwa ukisema "Zile Baa zote ambazo hao wanawake wanasimama kwa mbele wakifanya biashara tutazifunga kama wasipo komesha hiyo tabia?"

Hao malaya wanatafuta wateja na wateja wengi ni pamoja na walevi,njia nzuri ya kumkamata mlevi ni kusogea karibu yake!,Wamiliki wa Bar hata hawahusiki na hao wanawake,wao nao hushitukia tu hao wanawake wamejazana mbele ya bar yake,sasa mmiliki atafanya nini?

Hii nchi wafanya biashara hasa hao wamiliki wa Bars na Pub wanalipa kodi kibwena,nao pia wanahitaji wateja,sasa kama hao wanawake wanasimama mbele ya Bar yake na kjpitia hao hao anapata wateja wa kutosha kwanini awafukuze?

Suala la ukahaba haliwezi kuisha na halitokaa liishe!,Dunia ya leo ya Sayansi na Teknolojia bado unazuia ukahaba kweli?

Watu kila siku wanatoa michango na mawazo ya kwamba,hao makahaba mlipaswa muwasajili ili waanze kulipa kodi,kupitia usajili huo watakuwa wanapewa semina pia namna ya kujilinda dhidi ya afya zao kutoka wizara ya afya!,nyie hamtaki mnataka kila siku kufukuzana nao mabarabarani!.

Imeenda mbali zaidi hadi sehemu za Masaji mnafungia!,Hivi wewe jamaa uko timamu kweli kichwani?

Ukahaba hauwezi kuisha,kinachotakiwa kufanywa ni kuweka utaratibu mzuri wa hao makahaba kulipa kodi,nchi inapoteza kodi nyingi sana kwasababu ya watu kama wewe ambao mnataka kujionyesha mnao uwezo wa kukomesha makahaba!.

Unadhani mdau kama GENTAMYCINE yeye ataenda kuponea wapi na ufupi wake?,Hao watu walikuwa wakimsaidia kumwaga oil chafu!

Ifike sehemu mkuu wa Mkoa uache ujuaji wa kijinga,kufoka foka siyo aina ya kiongozi mwenye akili timamu!.
Kwa msimamo wako ongelea na bangi kama zao la biashara
 
Apigwe mawe.
 
Kuirasimisha ni kushiriki dhambi yenyewe. Sidhani kama kuna kiongozi wa serikali ataweka saini kuhalalisha uchafu huu. Tukusanye kodi za biashara ya uzinzi na uasherati? Serious?? Kama tukishindwa kuwadhibiti basi wafanye kivyao ila tusishiriki dhambi yao kwa njia ya kodi. Hili wala si suala la imani. It is a moral issue.
Mbona umechanganya sana mambo!? Serekali na dhambi wapi na wapi mzee!? Nikukumbushe tu huwa tunatumia kodi kutoka kwa pombe, sigara, kondom, vilainishi nk.
 
Ukahaba hauwezi kuisha,kinachotakiwa kufanywa ni kuweka utaratibu mzuri wa hao makahaba kulipa kodi,nchi inapoteza kodi nyingi sana kwasababu ya watu kama wewe ambao mnataka kujionyesha mnao uwezo wa kukomesha makahaba!.
Huyu RC ni mjinga anachanganya imani na majukumu ya serikali, yeye anadeal na hao makahaba from sinning perspective, kumbe angeweza kufikiria namna nyingine bora ya kutogombana na watu wakati akitatua hiyo changamoto, Dsm ina wasomi wengi sana angewatumia kama think tank yake lakini hawaoni
 
Back
Top Bottom