min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,051
- 176,679
Watu hawazeeki kwenye picha , live utakimbiaHata mimi nashangaa kwa nini mtu ana miaka 45 kwenda juu ni mbichi, nadhani watu wa siku hizi kwa nje hawazeeke, lakini kwa ndani ni wazee. Kinyume chake ni kwamba sisi wazee wa zamani unaweza kuona tumezeeka kwa nje lakini kwa ndani tuko fiti ile fiti yaani!