Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Ngoja nikuulize kitu. Kama hayo unayoyasema ni kweli.

Baba anayejua siku zake za kuishi zinahesabika, anaweza kuua mama ambaye ndio analea watoto hadi kuwalipia ada kisa nyumba? Na anajua yeye hatokuwepo? Basi hata mama awepo aangalie watoto?

Ni kwa sababu alijua hata watoto hawamuusu😝😝na hawamuusu kwa sababu uwezo wa kuzalisha hakuwa nao. Na kwanini hakuwa nao?😝😝😝
Diha, naomba ongea na mie, hao watakuchosha tu, wasitutoe mchezoni, naomba unifungukie yote mie kumuhusu huyo Laurent, achana na hawa wengine humu, plz
 
Aseeh Jane ni lizuri meku... Yaani siku hizi mbona wenye 46yrs hata fifty ni wabichi kama parachichi min -me
Hata mimi nashangaa kwa nini mtu ana miaka 45 kwenda juu ni mbichi, nadhani watu wa siku hizi kwa nje hawazeeke, lakini kwa ndani ni wazee. Kinyume chake ni kwamba sisi wazee wa zamani unaweza kuona tumezeeka kwa nje lakini kwa ndani tuko fiti ile fiti yaani!
 
Kwa haya unayoandika wewe ni mtu mwenye interest to serve, wewe siyo mtu wa kuaminika.
Yana muda basi😝😝😝😝 ngoja niondoke hapa msije kunimeza 🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️
 
Pole nyingi ziwaendee wafiwa.

Ukiangalia kwa umakini zaidi hili tukio, utagundua ndugu KWEKA ni shujaa, amepeleka ujumbe mzito kwa wanawake wenye tamaa na wababaishaji kwenye taasisi ya ndoa.

Msingi wa ndoa ni kuishi pamoja mpaka mwisho wa maisha yenu. Dini ya kikristu ya hao waliokuwa wanandoa inasema wanandoa ni mwili mmoja. Kitendo cha marehemu kufanya dili kwenye ndoa kinafikirisha sana na kinatia gadhabu na hakika wengi wetu humu kama siyo wote tunge MKWEKA huyo marehemu.

NATUMAINI HILI LITAKUA FUNDISHO kwa hao slay queens wanataka kuolewa ili hali ni wajisiria K
Wamachame weekend hii tuna kikao cha dharula. Tukutane Kibo Complex siku ya Jumamosi kuanzia saa 10 jioni.
Njoo ukiwa umelewa.
Kila mtu aje na usafiri wake.
 
Back
Top Bottom