Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Halafu mnavyomsifia kweka kuna ukweli kuhusu yeye ambao hamuusemi au labda hamuujui. Hamjui hata hiyo saratani imesababishwa na nini😝😝😝. Nyie mmemjua baada ya hili tukio ila kuna sisi tumemjua kabla na mambo yake tunayajua vyema😝😝😝YBWYB
Mbona huusemi?
 
Yaani watu wahenga nyumba ya 350M wakose hela ya fensi mpaka wakope? Hiyo stori hai-tally.

Hivi mnajuaga mtu mwenye Uwezo wa kujenga nyumba kama Ile ana hela za kuunga unga?
Em wewe unayejua kiundani utupe hapa, kila mtu yuko huru kusema anachokijua au kufahamu kuwahusu hawa watu na mambo yao.

Sisi tunakusikiliza, wala hujazuiwa kusema hapa, ni wewe tu.
 
Majirani wanafiki ety sikuwahi kumuona Jane ndo nimemsikia leo 😆😅 ukute huyo katoka makongo kufuata umbea
😂😂😂 mie nimechoka pale, nauliza mtu, anasema wakazi wa ile nyumba hakuwahi kuwajua wala kuwaona, nikaogopa kudodosa mwisho niambiwe nikasaidie polisi, nikaondoka zangu.
Ila nyumba ni nzuri kwa kweli, nimeipenda buree, .
 
Jumba zuri alooh, na wanandoa walikuwa vyema tuu ila ndo hivyo mambo ya kifo hayana muongozo waweza dondokewa hata na tofali

Dolly kafikia wapi 😆
 
Unajua bado sielewi, inasemekana walihamia mwaka jana Dec, mbona pale niliuliza mtu akasema yeye pale ameanza kuona km watu wanaishi toka mda kabla ya hiyo Dec,

Nachoka tu kwa kweli, afu familia ya Kweka imenyuti kimya hata kutoka na kuanza kuongea hawataki, wamekauka kau, mie wananiudhi, wafanye kuongea tujue ya upande wao
Aaaah. 😂😂😂
 
Natakiwa nikusanye na kuyahifadhi na kuyalinda kwa wivu mkubwa.
😂😂😂
Inasikitisha,huyu kweka angejiua nae pia.
1791465764810.jpg
 
Unajua bado sielewi, inasemekana walihamia mwaka jana Dec, mbona pale niliuliza mtu akasema yeye pale ameanza kuona km watu wanaishi toka mda kabla ya hiyo Dec,

Nachoka tu kwa kweli, afu familia ya Kweka imenyuti kimya hata kutoka na kuanza kuongea hawataki, wamekauka kau, mie wananiudhi, wafanye kuongea tujue ya upande wao
Aaaah. 😂😂😂
Hao hawawezi kusema chochote ata kama ni wewe ungesema Nini na nduguyo kaharibu?
 
Unajua bado sielewi, inasemekana walihamia mwaka jana Dec, mbona pale niliuliza mtu akasema yeye pale ameanza kuona km watu wanaishi toka mda kabla ya hiyo Dec,

Nachoka tu kwa kweli, afu familia ya Kweka imenyuti kimya hata kutoka na kuanza kuongea hawataki, wamekauka kau, mie wananiudhi, wafanye kuongea tujue ya upande wao
Aaaah. 😂😂😂
Wanaanzaje wakati ushaambiw mwenye shamba ni mwingine mazao ni ya mwingine au wote 😆

Au walimpa mtu awaangalizie sunajua Tena mtu akuchungie hasa huku dar huo mfumo upo sana..... Inawezkn ama la maake wabongo kwa maneno hatujambo
 
Back
Top Bottom