MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,898
- 40,181
- Thread starter
- #181
Ila ameisaidia jamii kwa kutoa fundisho kwa slay queens.Hapana alichifanya Kweka ni Ubinafsi kwake na kwa watoto,Maana umejitakili na umewanyima watoto babà na mama.
Ila ameisaidia jamii kwa kutoa fundisho kwa slay queens.Hapana alichifanya Kweka ni Ubinafsi kwake na kwa watoto,Maana umejitakili na umewanyima watoto babà na mama.
Na hawatosema labda zije ishu za mahakamani upande wa LauHawawezi sema chochote,labda Hadi wazike.maana upande wa kike hawawezi kuelewa chochote na vile mtoto wao kashapotea.
Upande wa Kweka, unatakiwa utoke na wao waseme kuhusu hili suala.Wanaanzaje wakati ushaambiw mwenye shamba ni mwingine mazao ni ya mwingine au wote 😆
Au walimpa mtu awaangalizie sunajua Tena mtu akuchungie hasa huku dar huo mfumo upo sana..... Inawezkn ama la maake wabongo kwa maneno hatujambo
Fundisho gani ?? Labda kama ni mgeni kwa wamachameIla ameisaidia jamii kwa kutoa fundisho kwa slay queens.
SureNaam hawa wa kimjin mjini hawataki ng''ombe wanataka njia si umemuona Jane 😆😆
Acha bangi.Ngoja nikuulize kitu. Kama hayo unayoyasema ni kweli.
Baba anayejua siku zake za kuishi zinahesabika, anaweza kuua mama ambaye ndio analea watoto hadi kuwalipia ada kisa nyumba? Na anajua yeye hatokuwepo? Basi hata mama awepo aangalie watoto?
Ni kwa sababu alijua hata watoto hawamuusu😝😝na hawamuusu kwa sababu uwezo wa kuzalisha hakuwa nao. Na kwanini hakuwa nao?😝😝😝
Daaah😁Ila huyu kweka kwa kumtazama vizuri, kuna kitu hakiko sawa, wallah vile.
Watatoka kipindi cha hukumu yake utaona tuu tena anaweza kufungwa familia yake ikaangua kilio kizito 😅 sunajua wanawake ndo zenuUpande wa Kweka, unatakiwa utoke na wao waseme kuhusu hili suala.
Kukaa kwao kimya, kunatoa wasi wasi.
😂😂😂
Huyu ukimatazama vizuri, kuna kitu hakiko sawa, wallah vilee.Mm niliwaambia toka muda nina sensor kali wakabisha niliwatonya hata humu yamo tuu
Kwa wamachame na wasio wamachame, kuna kitu watajifunza. Sasa hivi kama kuna mwanandoa alikua anahangaika kufoji hati ofisi za ardhi, atatulia kwanzaFundisho gani ?? Labda kama ni mgeni kwa wamachame
Cocaztic haya bhn 😆 😅Huyu ukimatazama vizuri, kuna kitu hakiko sawa, wallah vilee.
Natamani nipate hata clips akiwa anaongea, anatembea etc.
Yaan alooooh
Kweli,hawawezi ongelea hili.Na hawatosema labda zije ishu za mahakamani upande wa Lau
Toka mwanzo kabisaa, nilisema huyu hayuko sawa, watu walinipopoa, baadae ndio ikaja kumbe ana kansa ya utumbo. And then now time. Navyodhidi kuweka umakini ktk kumtazama, achana na ugonjwa, kuna shida sehemu.Daaah😁
Ni mgonjwa.
Wanawake hawabadiriki na hawatajifunza,Mifano sio Bongo tuu Hadi Ulaya wanaipata ila kwa vile ni watu wa Tamaa wataendelea kufanya hayoIla ameisaidia jamii kwa kutoa fundisho kwa slay queens.
😂😂😂Cocaztic haya bhn 😆 😅
Kwani unafikiri kweka angeweka zuio la hati hizo asingesikilizwa alikuwa kafariki?? ama kulikuwa na talaka ?? ama wao walikuwa na makubalian kwamba chukua hiki na mm nibaki na hiki then mambo yakawa tofauti?? Ndipo Jane atake nyumba ama mali ziwe zake ??Kwa wamachame na wasio wamachame, kuna kitu watajifunza. Sasa hivi kama kuna mwanandoa alikua anahangaika kufoji hati ofisi za ardhi, atatulia kwanza
Huzuni sana kwa kweli. 😭😭Hawawezi sema chochote,labda Hadi wazike.maana upande wa kike hawawezi kuelewa chochote na vile mtoto wao kashapotea.
Mungu amsamehe.Toka mwanzo kabisaa, nilisema huyu hayuko sawa, watu walinipopoa, baadae ndio ikaja kumbe ana kansa ya utumbo. And then now time. Navyodhidi kuweka umakini ktk kumtazama, achana na ugonjwa, kuna shida sehemu.
Eti jmn kung'ang'ania mali za ba mkwe inahusu km sio upuuzi?Huyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
Hawawez kufanya hivyo hata machame kesho watakuwa nyuma tuu labda waitweKweli,hawawezi ongelea hili.