Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Nawewe umeamini kweli anachosema huyo? Fuatilia maoni yake kwenye nyuzi nyingine zinazohusu hii ishu utakujutia muda kujibizana na hilo bot

Mwanamke mara zote akibananishwa hakosi mbinu ya kujilinda. Utaitwa hanithi, shoga na kila aina ya majina yenye kufedhehesha
Yaani acha ukigombana na mtu wako na wakajaa watu aisee utahaibishwa kwa kashfa za hatari ,unaweza ukawa Mandingo lakini ukaambiwa ni KIBA au ukawa Mandonga mtu kazi Kifua Kipana Show Show Afile munu asigale munu mechi dakika 90 lakini ukaambiwa TAKO 3.
 
Hamna mtoto hata mmoja ambaye ni wakwake. Hao watoto ni wa (damu ya kweka) ila sio wa huyo. Wachaga na mambo yao nisiyaingolee. Ila hata yeye alikuwa analijua kabisa.

Kweka hela ni za urithi alirithi biashara za baba yake. Ni kama hana hela tu maana hata mama yake alikuwa anampa hela kama mtoto mdogo. Mke wake sikuwahi kumjua ndio nimemjua baada ya hili sakata.
Oooh hapa sasa nimeanza kukupata vyema, kumbe kweka hali yake hata kwao wanaijua, na walifanya aoe ili kuepuka aibu ya jamii, na hao watoto ndugu wa kweka ndio damu yake halisi na sio yeye Laurent.

Ndio maana inasemekana huyu kweka mda wote huwa anakua kwao moshi na sio hapo bunju kwa mkewe, kumbe mali za urithi, vipi huyo Jane alikua na uwezo wake binafsi, au ndio kutegemea hela za kweka? Kuna kitu nakipata hapa.

Usinichoke mahi, napenda sana kujua kuhusu hawa watu, hasa kweka huyo.
 
Coca nakugawa mara nne 😆😅 kwelyiiiiiiiiiiih ulikuwa mbesi bichi mamangu
 
Yakiwa wazi nitakutag uje umtetee mwakilishi wenu😝😝😝
Acha kukimbia hoja na kuleta vioja, msingi wa uzi huu ni tukio lililosababisha shujaa wetu kumwezesha marehemu apendwe zaidi na Mungu.

Kwamba hana marinda sijui hanauwezo wa kuzalisha, watoto siyo wake hayo yote ni makasiriko na departure kutoka kwenye hoja kuu.
 
Hamna mtoto hata mmoja ambaye ni wakwake. Hao watoto ni wa (damu ya kweka) ila sio wa huyo. Wachaga na mambo yao nisiyaingolee. Ila hata yeye alikuwa analijua kabisa.

Kweka hela ni za urithi alirithi biashara za baba yake. Ni kama hana hela tu maana hata mama yake alikuwa anampa hela kama mtoto mdogo. Mke wake sikuwahi kumjua ndio nimemjua baada ya hili sakata.
🚮🚮
 
Nawewe umeamini kweli anachosema huyo? Fuatilia maoni yake kwenye nyuzi nyingine zinazohusu hii ishu utakujutia muda kujibizana na hilo bot

Mwanamke mara zote akibananishwa hakosi mbinu ya kujilinda. Utaitwa hanithi, shoga na kila aina ya majina yenye kufedhehesha
Yeye inaonekana anamfahamu kiundani huyo Laurent, wacha atupe dondoo kumuhusu.
 
Oooh hapa sasa nimeanza kukupata vyema, kumbe kweka hali yake hata kwao wanaijua, na walifanya aoe ili kuepuka aibu ya jamii, na hao watoto ndugu wa kweka ndio damu yake halisi na sio yeye Laurent.

Ndio maana inasemekana huyu kweka mda wote huwa anakua kwao moshi na sio hapo bunju kwa mkewe, kumbe mali za urithi, vipi huyo Jane alikua na uwezo wake binafsi, au ndio kutegemea hela za kweka? Kuna kitu nakipata hapa.

Usinichoke mahi, napenda sana kujua kuhusu hawa watu, hasa kweka huyo.
Si umeona kwamba hata kiwanja mwanamke ndio aliyenunua? Si umeona pia mwanamke alichukua mikopo kwa ajili ya ujenzi na ada za watoto hadi akashindwa kulipwa akapelekwa polisi? Haya tuseme basi tusichimbue ya sirini tuongelee haya haya yaliyo wazi hapo si unaona Jane alikuwa na hela zake.

Ngoja wakazike huko kwao watu wa kwao wahojiwe wafunguke vizuri😝😝😝
 
Back
Top Bottom