Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Duuh ulinzi tena mkali ,wanahisi kutakuwepo vurugu? Ungechukua hata kijipicha au walifanya kama SAMUYA zimbabwe no FOTO?
Ulinzi mkali mno, utadhani kuna hali ya hatari, sijui wanaogopa labda familia ya kweka wanaweza weka vurugu, mie hata hamu ya kuchukua picha sikuwa nayo, nikaamua nisepe zangu tu.
 
Maskiniii!! Sasa kwanini alioa? Alitaka kufurahisha umma kuwa naye ni straight? Ili hali sio? Au hiyo migogoro ilikua kuhusu mambo ya ndani na sio mali? Vipi watoto wote ni wake? Au kapigwa? Utafanya nianze kumchukia kweka, alimuuaje mtu aliyemsitiri na mambo yake ya gizani???

Swali langu ni hili, kati ya kweka na Urassa nani alikua na hela/kazi nzuri ya maana? Kuna kitu nataka kung'amua hapa.

Nipe ushirikiano diha, plz.
Nawewe umeamini kweli anachosema huyo? Fuatilia maoni yake kwenye nyuzi nyingine zinazohusu hii ishu utakujutia muda kujibizana na hilo bot

Mwanamke mara zote akibananishwa hakosi mbinu ya kujilinda. Utaitwa hanithi, shoga na kila aina ya majina yenye kufedhehesha
 
Nakubaliana na wewe
 
Hawawez kukosa kwa ile scenario ilivyo kuwa lazima wawepo na hizo jamii zinavyopenda fujo mpaka msibani
Ndio maana, nikawa nashangaa hawa polisi na defender na mitutu, kuna hali ipi ya hatari,

Sasa hao polisi wataenda hadi huko Moshi??
 
Kitambo tu. Tena nasikia tangu akiwa mdogo. Ulishawahi kuona akitembea? Sasa mimi hilo nina uhakika nalo 100%. Ningekufungukia zaidi ila ngoja yatakuwa wazi soon. Hata hiyo cancer sisi tulijua muda japo wengi wamejua baada ya tukio, watu wengi walio maaneo ambayo yalikuwa yake ya kujiachia mbona wanajua vizuri tu.
Acheni kuchafua watu, wapuuzi nyie
 
Kweka alizingua na wa hovyo kweli yaani mtu uliyetoka nae kwenu mnajuana in and out hakupaswa kulegeza toka mwanzo alivyo oona mambo hayako sawa angetafuta settlement mapema....

Hawa wamachame mbn wengi wamewamudu tuu.... Ondoa hisia weka akili mbele
Mitishamba Mkuu, hapo na Bagamoyo siyo mbali
 
Hizo accusation hatuwezi kuzikubali sasa, sisi tunachojua kasimama kama baba kwenye familia, kaondoa kirusi kwenye ndoa.
Ngoja nikuulize kitu. Kama hayo unayoyasema ni kweli.

Baba anayejua siku zake za kuishi zinahesabika, anaweza kuua mama ambaye ndio analea watoto hadi kuwalipia ada kisa nyumba? Na anajua yeye hatokuwepo? Basi hata mama awepo aangalie watoto?

Ni kwa sababu alijua hata watoto hawamuusu😝😝na hawamuusu kwa sababu uwezo wa kuzalisha hakuwa nao. Na kwanini hakuwa nao?😝😝😝
 
Kweka alizingua na wa hovyo kweli yaani mtu uliyetoka nae kwenu mnajuana in and out hakupaswa kulegeza toka mwanzo alivyo oona mambo hayako sawa angetafuta settlement mapema....

Hawa wamachame mbn wengi wamewamudu tuu.... Ondoa hisia weka akili mbele
Kiburi yao mwisho kibosho, kule hatuchekeshi😅
 
Ngoja nikuulize kitu. Kama hayo unayoyasema ni kweli.

Baba anayejua siku zake za kuishi zinahesabika, anaweza kuua mama ambaye ndio analea watoto hadi kuwalipia ada kisa nyumba? Na anajua yeye hatokuwepo? Basi hata mama awepo aangalie watoto?

Ni kwa sababu alijua hata watoto hawamuusu😝😝na hawamuusu kwa sababu uwezo wa kuzalisha hakuwa nao. Na kwanini hakuwa nao?😝😝😝
Haya yote ni afterthought, issue hapa ni dhuluma, kubadilisha hati kwa hila na udanganyifu, na hii issue iko rational, hayo mengine ni conspiracy theories ambazo hazina mashiko
 
Maskiniii!! Sasa kwanini alioa? Alitaka kufurahisha umma kuwa naye ni straight? Ili hali sio? Au hiyo migogoro ilikua kuhusu mambo ya ndani na sio mali? Vipi watoto wote ni wake? Au kapigwa? Utafanya nianze kumchukia kweka, alimuuaje mtu aliyemsitiri na mambo yake ya gizani???

Swali langu ni hili, kati ya kweka na Urassa nani alikua na hela/kazi nzuri ya maana? Kuna kitu nataka kung'amua hapa.

Nipe ushirikiano diha, plz.
Acheni kufuatilia maisha ya watu, haya unayotaka kuyajua hayawezi kukupa faida kwenye maisha yako
 
Back
Top Bottom