Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Kwamba kweka alikua ni Gay, na saratani ya utumbo kapata kupitia hicho kitu au??
Em funguka zaidi.
Yatakuja kuongelewa tu siku. Sasa hivi hayaongelewi yanaongelewa hati ya nyumba kwanza. Baada ya muda tutajua kwanini walikuwa na migogoro isiyoisha.
Ila sisi ambao tupo kwenye maeneo ambao wenyewe ndio wanakuja kujiachia, tunamfahamu vyema .
 
Diha em funguka, km kweka alikua mwanachama au laah, mbona kwenye masjala ya chama, sijaona utambulisho wake? Naomba funguka kidogo, yaan kidogo tu. Hata kwa code mahi.
😂😂😂😂
 
Inafikirsha sana. Inakuwaje mke atoe kiwanja ujenge,, akope hela ajenge fensi halafu mume utake kuuza nyumba ili.ukajenge kwenye kiwanja chako? Nikitu kinawezekana lakini kwa busara sio mhemko ,, wanaume tubadilike asee,, mtu kaziliwa wazazi wake wakamsomesha hadi kufanikiwa kupata kazi ya mshahara wa milion 9 kwa mwez wewe from no weya ulipata cheo cha mume unakuja kukatisha maisha ya mtu
 
Kwamba wanatampeleka jela akaolewe huko?
 
Inafikirsha sana. Inakuwaje mke atoe kiwanja ujenge,, akope hela ajenge fensi halafu mume utake kuuza nyumba ili.ukajenge kwenye kiwanja chako? Nikitu kinawezekana lakini kwa busara sio mhemko ,, wanaume tubadilike asee,, mtu kaziliwa wazazi wake wakamsomesha hadi kufanikiwa kupata kazi ya mshahara wa milion 9 kwa mwez wewe from no weya ulipata cheo cha mume unakuja kukatisha maisha ya mtu
Vyovyote vile, ndoa siyo sehemu ya kufanya issue kwa kificho
 
Diha em funguka, km kweka alikua mwanachama au laah, mbona kwenye masjala ya chama, sijaona utambulisho wake? Naomba funguka kidogo, yaan kidogo tu. Hata kwa code mahi.
😂😂😂😂
Kitambo tu. Tena nasikia tangu akiwa mdogo. Ulishawahi kuona akitembea? Sasa mimi hilo nina uhakika nalo 100%. Ningekufungukia zaidi ila ngoja yatakuwa wazi soon. Hata hiyo cancer sisi tulijua muda japo wengi wamejua baada ya tukio, watu wengi walio maaneo ambayo yalikuwa yake ya kujiachia mbona wanajua vizuri tu.
 
Maskiniii!! Sasa kwanini alioa? Alitaka kufurahisha umma kuwa naye ni straight? Ili hali sio? Au hiyo migogoro ilikua kuhusu mambo ya ndani na sio mali? Vipi watoto wote ni wake? Au kapigwa? Utafanya nianze kumchukia kweka, alimuuaje mtu aliyemsitiri na mambo yake ya gizani???

Swali langu ni hili, kati ya kweka na Urassa nani alikua na hela/kazi nzuri ya maana? Kuna kitu nataka kung'amua hapa.

Nipe ushirikiano diha, plz.
 
Back
Top Bottom