Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,048
Walikuwa mda wote IG wanaonesha maisha yao ...sjui ilikuwa reality showKwani kulikuwa na ndoa pale
Au kuuza sura tu...show off
Hivi wale wake walikuwa wanapika kweli na kufanya kazi za nyumban
Maana kila siku ni pilika tu
Ova




