HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,947
- 102,723
Na wengi inawatokea sababu lazima ale chakulaInashangaza sana na hapo wamesikia story tuu hawajawahi kuingia leba...hzi story za kusikia sikia hizi ni shidaa...kuna mtu hapo juu anasema mtu akipush lazima anye...How??? Labda kama alikua amekula na ndani ya masaa 12 b4 uchungu hakupata choo so uchungu unapoanza hapo ndo possibility ya kunya ni kubwa...lakini from no where tu unye labda una tatizo kubwa kwenye sphinter masozi zako...

