#Ndinga mpya townKwani Musa Kipanya hana ithibati? π€.
Ila Mimi nilikuwa naikubali Ile combo ya Ian Dialo, David Rwenyagira, na DJ McCay (Make) pale Drive show ya EA radio, na Ile ya Bobby Mongi, Evance Bukuku, na Chris Lugoe kwenye Supa breakfast.
Ndinga limepoa sana tangu Ian (Buda), na Rwenyagira kuondoka.#Ndinga mpya town
Ni sawa na jahazi la clouds fm,kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa sio poa.Ndinga limepoa sana tangu Ian (Buda), na Rwenyagira kuondoka.
Jamaa walikuwa wanajua sana utani
Sahihi kaka, hakuna jambo kudumu katika hii Dunia.Ni sawa na jahazi la clouds fm,kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa sio poa.
Kila kitu kinakuja,halafu kinapita even us bro.
Ndiyo, lakini sidhani kama hilo linaweza kuathiri kazi yake mpya.Huyu sio diwani wa Kariakoo?!
Kijana naona heshima inashuka kama chupi ya kahaba wa kimboka.Kwa raha zake secretary bird nasikia ndo kipindi chako ukishirikiana na mbamizwa kobaa cc Poor Brain
Mi sio mbamizwa aiseeeKwa raha zake secretary bird nasikia ndo kipindi chako ukishirikiana na mbamizwa kobaa cc Poor Brain
Mnazinguaπ€£Kumbe hi anaenda kama Half american π.
Unazingua kenge weweHongera bro Half american, naam waamshie hao
Acha ufala kenge mavumbiUnazingua kenge wewe
hongera sana mkuu.vp mkuu
Mussa anayo ithibati.Kwani Musa Kipanya hana ithibati? π€.
Ila Mimi nilikuwa naikubali Ile combo ya Ian Dialo, David Rwenyagira, na DJ McCay (Make) pale Drive show ya EA radio, na Ile ya Bobby Mongi, Evance Bukuku, na Chris Lugoe kwenye Supa breakfast.
πππ ππ€£π
Niambie Haji π.Mnazinguaπ€£
Maana hata jana Musa nilimsikia bhana.Mussa anayo ithibati.
Yes COmbo ya Drive Show - Ndinga Mpya Town hatari.