Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Ni beer ya kibabe sana ile 😋

Fitna za kimasoko kati Tanzania Breweries Ltd (TBL), na East Africa Breweries Ltd (EABL), ndio kisa cha Tusker Lager kuacha kuingizwa Tanzania. Pamoja EABL, kuinunua Serengeti Breweries Ltd (SBL) ya Tanzania, bado hawajapata namna ya kuingiza tena Tusker Lager sokoni Tanzania.

Mara ya mwisho nimezipiga Holili Rombo. Bonge moja ya bia ile. Ina povu hatari. 😊
 
Naikumbuka sana hiyo beer, ina viwango vya dhahabu kwenye upishi wake

Ukiingia Nairobi unakunywa hadi unabebelea kwa bei ya kizawa
 
Najua kuna kufa , najua changamoto zipo 😃, ila Mimi mlevi nikipotea msinitafute nitarudi mwenyewe tu😃😃😃

Na hii ndio miezi yangu ya kupotea na kupiga pesa , hivyo tusizushiane vifo asee😃😃

Anaetaka msaada hasa wa kifedha awasiliane na seran tu , atanicheki nitakupa Masada bwashee😃
We mzee, ukipotea hata kwa masaa mawili humu lazima tukutafute.

Nikiandika post bila kuona like yako napata mashaka asije Mafwele akawa amekuweka gereji🤣🤣
 
Fitna za kimasoko kati Tanzania Breweries Ltd (TBL), na East Africa Breweries Ltd (EABL), ndio kisa cha Tusker Lager kuacha kuingizwa Tanzania. Pamoja EABL, kuinunua Serengeti Breweries Ltd (SBL) ya Tanzania, bado hawajapata namna ya kuingiza tena Tusker Lager sokoni Tanzania.

Mara ya mwisho nimezipiga Holili Rombo. Bonge moja ya bia ile. Ina povu hatari. 😊
Lakini ziliondolewa wakati wa marehemu Maghufuri, Nilijua anataka tunywe za hapa tu kumbe ni fitina za TBL?😛😛
 
Lakini ziliondolewa wakati wa marehemu Maghufuri, Nilijua anataka tunywe za hapa tu kumbe ni fitina za TBL?😛😛

EABL waliponunua Serengeti Breweries Ltd (SBL), mkakati wao ukawa ni kusimika kiwanda Moshi kuzalisha Tusker, Serengeti (Chui) kupambana na Safari na Kilimanjaro lager, walizalisha kidogo tuu Tusker, wakaona wabaki kuzalisha Serengeti Lite na Guinness.
Option ya kuzalisha Tusker Lager hapo Moshi kupunguza gharama za uzalishaji na kodi, lakini pia kuzalisha kwa wingi bia hiyo, option hiyo haijawahi kufanya kazi.
Zamani Tusker pia ilikuwa ni bia shindani ya Safari Lager hapa Bongo. TBL wakaja na Kilimanjaro lager na fitna za hapa na pale hasa za kodi, Tusker ikapotea sokoni kwa namna hiyo, sababu ilikuwa imported kutoka Kenya.
 
Kabisa Mkuu

Ni beer za kibabe mno, nashangaa vijana badala wapige hizi wao wako busy na visungura

Baada ya miaka 3 wanatoa tangazo la Figo zao kufeli 🙌

Hata hivyo tumshukuru Magufuli, enzi za viroba vijana walikwisha sana na pombe ambazo hazina ubora. Sema Gen Zii wabishi sana.

Wazee walikula bia zamani, mpaka leo wanadunda tuu, Kabla ya ujio wa Kilimanjaro lager, kulikuwa na Safari, Stella Artois, kwa upande wa spirits kulikuwa na Power No1, na Konyagi. Sasa siku hizi zipo gin za Tunduma, Manyara, Arusha, zinavimbisha vijana mashavu wao wanaona wananenepa.
 
Back
Top Bottom