Kama ni kibantu means ni iga uone, na sio kugawa mautam!Orijino bantu mzeee 😁😁😁😁😁
Tunyooshe pampula👌🏽Sidhani 😁 kwanza sasa hivi kanajiamini , kana chenji zake baba yake nilimtilia kwa junior account yake 😁 je akifika 20 na mimi sijafa😁
Nakumbuka ilikua November last year 😂😂 Hatuoni reaction yako yoyote tukajua Ulikinukisha kikanuka...Bwashee niliona RIP nikiwa bar nakula bia nikaogopa kabisa😁
Si ndioo ba mtu😁Unaona ni kabantu og mamnyo?😁
Chenji zake hazimsaidia kutuliza haja za mwili we ngoja😂😂😂🙌 vijana wa site na wauza chipsi waanze kumlisha pipiSidhani 😁 kwanza sasa hivi kanajiamini , kana chenji zake baba yake nilimtilia kwa junior account yake 😁 je akifika 20 na mimi sijafa😁
Mzeee hiyo sio lugha yako, tafsiri ni tofauti😃Kama ni kibantu means ni iga uone, na sio kugawa mautam!
Ni lugha gani?Mzeee hiyo sio lugha yako, tafsiri ni tofauti😃
Nikishakutajia utapata faida gani ajuza😅Ni lugha gani?
Jiandae kupokea kesi mbali mbali 🥸😂Usinitishe bwashee 😁
👏👏👏 Good for youBwashee mimi mzungu😁