Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,926
- 97,564
Nnazitoa wapi mamake🙆🏽♀️
Nnazitoa wapi mamake🙆🏽♀️
Walevi au wanywaji? Niweke wazi hapa..Nafsi zetu zinakutana tukilewa usiwaze mzee
Vyovyote vile siye freshy tu😅Walevi au wanywaji? Niweke wazi hapa..
Acha kurukaruka we binti, niko standby hapa😬😬Vyovyote vile siye freshy tu😅
Sirukiruki mzee unanidai😁Acha kurukaruka we binti, niko standby hapa😬😬
Utani tuHumu mnapenda kujipa umuhimu.
Nakudai hakika!Sirukiruki mzee unanidai😁
Sio pombe bali hulka za kijinga,Potezea tu , ni pombe
Shingapi?Nakudai hakika!
100kShingapi?
Anaetaka msaada hasa wa kifedha awasiliane na seran tu , atanicheki nitakupa Masada bwashee😃Najua kuna kufa , najua changamoto zipo 😃, ila Mimi mlevi nikipotea msinitafute nitarudi mwenyewe tu😃😃😃
Na hii ndio miezi yangu ya kupotea na kupiga pesa , hivyo tusizushiane vifo asee😃😃
Anaetaka msaada hasa wa kifedha awasiliane na seran tu , atanicheki nitakupa Masada bwashee😃
Kitita chote hiki mi natoa wapi100k
Ukihitaji namba yangu nishtue ufanye mchakato.Kitita chote hiki mi natoa wapi