Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Bwashee, ngoja nivunje tu kibubu nilewe nimtumie na mama nae alewe Christmas , na mwaka mpya , kuja itakua ngumu sana
Daaa we jamaa sasa watoto watakosa ada janwari 😀
Hahaha sio kweli bwashee, japo nalewa ila likija swala la binti yangu ni namba moja😁
Binti yako amebakiza x-mass ngapi bodaboda waanze kujilia na chumvi 😀😀😀 au umeimarisha ulinzi
 
Daaa we jamaa sasa watoto watakosa ada janwari 😀

Binti yako amebakiza x-mass ngapi bodaboda waanze kujilia na chumvi 😀😀😀 au umeimarisha ulinzi
Ni ngumu sana vijana wajinga wakutane ila kwa boda boda ni kazi halali , anaweza pendana na yeyote tu bwashee 😁
 
Back
Top Bottom