Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
59,462
Reaction score
171,562
Najua kuna kufa , najua changamoto zipo 😃, ila Mimi mlevi nikipotea msinitafute nitarudi mwenyewe tu😃😃😃

Na hii ndio miezi yangu ya kupotea na kupiga pesa , hivyo tusizushiane vifo asee😃😃

Anaetaka msaada hasa wa kifedha awasiliane na seran tu , atanicheki nitakupa Masada bwashee😃
 
Hata Mimi nimerudi zangu duniani bwashee, na Ka autumn ndio kanaishiria..Nimeiacha bongo mikono salama ..sukuma nyama uko uliko
1000001121.jpg
 
Back
Top Bottom