Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,909
- 97,392
Hivi huwa unakunywa pombe?Hata hivyo tumshukuru Magufuli, enzi za viroba vijana walikwisha sana na pombe ambazo hazina ubora. Sema Gen Zii wabishi sana.
Wazee walikula bia zamani, mpaka leo wanadunda tuu, Kabla ya ujio wa Kilimanjaro lager, kulikuwa na Safari, Stella Artois, kwa upande wa spirits kulikuwa na Power No1, na Konyagi. Sasa siku hizi zipo gin za Tunduma, Manyara, Arusha, zinavimbisha vijana mashavu wao wanaona wananenepa.