Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,993
- 97,703
Tuna ugomvi au nahangaika na parody?Nikishakutajia utapata faida gani ajuza😅
Tuna ugomvi au nahangaika na parody?Nikishakutajia utapata faida gani ajuza😅
We acha tuPampula najua unatamani ulewa kama nilivyo lewa😁
Njoo tunywe beer 🍻Tuna ugomvi au nahangaika na parody?
😄😄"Anaetaka msaada hasa wa KIFEDHA" imekaa kimkakati sanaIpi mangi?
Acha utoto.Nakuvizia nikuopoe haujui tu
Tofauti yetu ni kwamba sisi walevi tuna option ya restore 🤣🤣🤣Hawa wapumbavu wanakufa mno gademitt
Nimekuzuuum bwasheee tuko pamoja sana mm nitakula nyama nyingi na beer siku iyo 😁🙌Bwashee nimekufollow nyie ni wanangu nikifa mtakunywa bia juu ya kaburi langu😁
Nmerudisha fadhila bwashee ngoja cheers 🍻😂Indeed bwashee
Wewe ni mwanangu sana 🍻🍻🍻😂 ongeza beerYeah nimeoana bwashee 🤣 cheers 🍻🤣🤣🤣🤣
😂🤝Yeah ,ndio natoka kazini nikifika ghetto lazima niongezee bia bwashee 🤣🤣