Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Pole sana Manji!!! Angalia sana pesa zote ulizowapa chama tawala kwenye deal zao kibao leo huthaminiwi!! Jitambue uwe makini.....!! Utawala huu wewe unaonekana mwizi na mpiga deal! Ulivyowabeba miaka yote hii ingawa kweli umefaidika sana ila na wao kama chama wamefaidika pia bila mitaji.....kwa pesa yako!! Leo wamekutupa!!!
shshshhhhh!!!! huyo ni mheshimiwa diwani wa chama dola.tena alitoa hoja kuwa ile kambi ya jeshi kule mbagala ihamishwe.inawezekana wanajadiliana nae mahali pa kuihamishia.
 
Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli

Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus

Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.


Huyu walimpendelea tu, ilibidi atiwe kwenye tenga na kumpakia kwenye baiskeli kumpeleka central.....muuza unga ni shetani kwani anaharibu vizazi na kuua pia, hivyo hakustahili starehe ya kupelekwa central na gari.
 
Habari za hivi punde amepelekwa hospitali na ambulance, kitakachofuatia utaambiwa matibabu yake hayawezekani nchi hii, hivyo imebidi apelekwe nje ya nchi.
...nakuonaga una akili akili kidogo.,umevuta cha Malawi leo?
...mlianza hawezi kaa ndani,sahizi mnahamisha tu magoli!
.wabongo sie!
 
Wote tumeona press conference ya Manji, hakutukana mtu, tena alisema akiwa kama mtu anaetokea Yanga anajua sana matusi lakini ata stay on the high road.

Second, range rover nyeusi aliyokuja nayo polisi sio mbwembwe bali ndio maisha yake. Quality Garage aliyoanzisha baba yake na partner zake back in the 70's is among the oldest business conglomerates in the country, hawezi kupanda Probox au Toyota Kluger kama mimi na wewe.

Third, kuja na wana sheria kumi nayo sio mbwembwe, mbona serikali inatumia extra judicial maneuvers, kwa nini na yeye asijitetee kwa kadiri ya uwezo wake?
 
Back
Top Bottom