Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

manji hakujua kama kuwja kupimwa ,ange delay then akanywa anti toxic kipimo kitasoma negative anadhani mbowe mjinga,yupo anasafisha damu

Kumbe Freeman kajifanya haendi Kumbe anasafisha Damu kwa Anti toxic[emoji12][emoji12][emoji12] Damu ikishakuwa Swafi ndo anajifanya Kutinga Central?!!

Shkamoo Mtoto wa Aikael[emoji12][emoji12][emoji12]

Mpaka sasa Mimba ya Mchagga Fwala Fwala na Zoba Zoba bado haijatungwa!
 
Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli

Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus

Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
hahahaaaaa!

mkuu...nani kakudanganya Manji bado yupo selo? hahahaaaa! watu nchi kweli tumepigwa upofu wa fahamu!
 
usifurahie msiba wa jiani yako......hujui nani atachimba kaburi lako.
Peleka huko hivi vihoja, akutwe amehangamiza wenzetu halafu useme uumwonea huruma? Kama unajiona una huruma sana si tukawahurumie wale walioumizwa na hawa wazungu wa unga?

Ukimhurumia Manji na waathirika wakahurumiwe na nani?
 
Kutumia sio shida, mbona wasanii waliachiwa?
 
Mda gan tena mimi niko hapa napiga balimi mdogo mdogo
Kumbe umeandika haya ukiwa fyatu tayari sikujua hilo. Naona wakuu wako wa Lumumba wamekurushia buku 2 unywe hiyo Balimi ili kichwa kivurugike.

Mkuu shituka hao wakuu wako huko Lumumba wameshakufanya zezeta.
 
Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli

Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus

Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
Tokea lini vita ya dawa inapiganwa kwa kuwakamata waathirika ? Acheni mambo ya kishamba.Fanyeni kaz.
 
Sababu ya kukaa nao ni Kwa sababu akamtaja jamaa mmoja mwenye nchi
 
Back
Top Bottom