Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,623
Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli

Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus

Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
 
Back
Top Bottom