So JF has sunk so lowLeo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa
Bado pilis wanafanya uchunguz zidi yake kwahiyo anaweza akamaliza hata week tatu akiwa lupango
Acha mambo ya yanga na simba achana nayo.Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa
Bado pilis wanafanya uchunguz zidi yake kwahiyo anaweza akamaliza hata week tatu akiwa lupango
Habali = Habari.Kutoka kwenye vyanzo vyangu vya habali
Muda ulitumia kuandika bora ungetumia kujifunza Kiswahili vyema. Are you on drugs or something?
Pia ajifunze na kuhesabuRudi shule kwanza ukajifunze kuandika.
Cha ukweli pekee ni kuwa Manji bado hajatoka.So JF has sunk so low
Gwajima amesema waliwekwa VIP,suala la ndoo na umbea wa wakati wa kusukana
Nani alikwambia Manji ameonekana ni mtumiaji?Umbea mwingine wa wakati wa kukuna nazi
Una hakika Manji hajatoka?
Hamia instagram
Vyanzo vyako vmekuongopea hakuchukuliw na gar nyeusi. Kaulize tenaKutoka kwenye vyanzo vyangu vya habali
Kuwa makini na unachonenaLeo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
Na wewe umesoma chuo na ukamaliza na ukaajiriwa? Kwa akili za mavi izi?manji hakujua kama kuwja kupimwa ,ange delay then akanywa anti toxic kipimo kitasoma negative anadhani mbowe mjinga,yupo anasafisha damu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]manji hakujua kama kuwja kupimwa ,ange delay then akanywa anti toxic kipimo kitasoma negative anadhani mbowe mjinga,yupo anasafisha damu
Shule niliyo soma hakuna hata ndugu yako mmoja mwenye uwezo wa kupeleka mtoto wake pale