Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli

Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus

Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
aisee jamaa ana makidai hadi kichefuchefu. mtu utawezaje kuonesha dharau kwa mkuu wa mkoa kiasi kile bila ya kua unamdharau aliyemchagua. anyee ndoo lupango zaidi na zaidi labda atajifunza kuheshimu mamlaka ya utawala wa nchi anayodai yeye ni raia wske
 
Mnabishana wakati mipua yenu imeangalia chini..
Acheni upumbavu toeni hoja za maana...

Mnabishana hata manji au gwajimu hawawajui...
Badilikeni acheni ushenzi watoto wenu watakuwa mabwege kama wazazi wao!
 
Nini kilifata baada ya kuchomewa?
Ilikuja ile kampuni iliyomuuzia hiyo ngano na kuthibitisha ngano ni nzuri na haijaijaisha muda wa matumizi, baadae serikali kwa kuona hivyo wakamlipa fidia.
 
Bifu la makonda atakuwa alinyimwa ten % toka kwenye makampuni ya manji halafu

Makonda ni
 

Attachments

  • WhatsApp%2BImage%2B2016-08-08%2Bat%2B18.18.20.jpeg
    WhatsApp%2BImage%2B2016-08-08%2Bat%2B18.18.20.jpeg
    30.2 KB · Views: 39
Gwajima kasema matokeo yake na ya Manji yalikuwa sawa (-Ve) kwa maana ya kwamba wako clean hata baada ya kusachiwa kwenye nyumba zao. Labda ututhibitishie kuwa wewe ndo mwandishi wa matokeo ya upimaji toka ofisi ya Mkemia Mkuu, vinginevyo nakushauri uwe na akiba ya maneno!!!
kwani huyo gwajima unaona akili yake iko sawa. huyo ana ugonjwa ambao tutajua siku moja. 'ooh mimi nina ndege ooh nitanunua treni ya mwendo kasi' etc. kaitwa polisi anaenda na kwaya ya kanisa. kuna wakati kaitwa polisi anatuma apelekewe bastola polisi. he is all through a trouble maker. roll yake kwenye siasa imejaa maswali kuliko majibu.
 
Bakhresa alishachomewa tani kadhaa za ngano yake wakisema Haifa alikomaa Mwisho wa yote aliwaambia chomeni siwezi shindana na serikali

Baadae Mkapa akampa NMC (Shirika la Usagishaji la Taifa) kufidia uchomaji ule!

Ngano kabla ya ku Import huwa inahakikiwa ubora na Nchi inayo export na Kampuni za Bima zinajiridhisha Ubora.

Kama sio Busara za Mkapa ilikuwa tunaingia kwny Mgogoro wa Kidiplomasia na Nchi iliyomuuzia Bakhresa kwa kuwa Yeye alirudi kwa Muuzaji amlipe Fidia kwa kumuuzia Bidhaa feki Nae Muuzaji akaikaba Serikali ya Tanzania impe report ya Kitaalam ya Mkemia Mkuu wa Serikal ndipo hapo Ngoma ikawa kali na ikazimwa kwa style ile!
 
Ilikuja ile kampuni iliyomuuzia hiyo ngano na kuthibitisha ngano ni nzuri na haijaijaisha muda wa matumizi, baadae serikali kwa kuona hivyo wakamlipa fidia.
Kwakifupi serikali ilikurupilukankipindi hicho na huemda ilikuwa ugomvi wa kisiasa tu
 
kwani huyo gwajima unaona akili yake iko sawa. huyo ana ugonjwa ambao tutajua siku moja. 'ooh mimi nina ndege ooh nitanunua treni ya mwendo kasi' etc. kaitwa polisi anaenda na kwaya ya kanisa. kuna wakati kaitwa polisi anatuma apelekewe bastola polisi. he is all through a trouble maker. roll yake kwenye siasa imejaa maswali kuliko majibu.

Nadhani tutakosea kusema anaumwa huku tukijiondoa sisi wenyewe maana hata sie kama ni psychiatric problems tunazo ni suala la muda na mazingira tu! Ninachompendea Gwajima hajui kukopesha bali huyamwaga yaliyo ujaza moyo- kind of sanguine personality. Wengine wetu wengi tu waoga na twaongea huku tumejificha nyuma ya keyboard.

Kama kasema siku akiyafanya hayo, je tutafuta kauli kwamba ni mgonjwa au tutazua jingine? Maana ktk ugonjwa wake mwenzetu anamiliki helicopter na ndege huku akiwa na mpango wa kufundisha watu urubani. Mwenzetu ambaye ni mgonjwa ni flying lecturer, haya mimi na wewe tunamiliki nini cha kujivunia? Hivyo basi kama ni ugonjwa, nadhani ugonjwa wa Gwajima ni mzuri tena kama unaambukiza natamani wengi waupate!
 
kwani huyo gwajima unaona akili yake iko sawa. huyo ana ugonjwa ambao tutajua siku moja. 'ooh mimi nina ndege ooh nitanunua treni ya mwendo kasi' etc. kaitwa polisi anaenda na kwaya ya kanisa. kuna wakati kaitwa polisi anatuma apelekewe bastola polisi. he is all through a trouble maker. roll yake kwenye siasa imejaa maswali kuliko majibu.

Yumkini Kuna watu wakiona majani ya mti yanatikisika huwa hawajiulizi sana hata kwa nini yanatikisika.Wengi wanaweza kuishia kuamini Ni upepo tu kumbe majani yale yanaweza kuwa yanatikiswa na tetemeko la ardhi, mtu au mnyama kama Tembo hivi.Hebu tujifunze kuangalia mambo kwa uyakinifu wake.Huyo jamaa Yawezekana anaumwa gonjwa la kisaikomatiki.
 
Back
Top Bottom