Hari,/habaliKutoka kwenye vyanzo vyangu vya habali
Hari,/habaliKutoka kwenye vyanzo vyangu vya habali
Ndio unaambiwa ukweli, umaskini wako hautaondoka kwa kumchukia Manji.Hizo misemo peleka nyumban kwenu sio hapa
Wewe ni mr majanga kweli gwajima mwenyewe kasema alimuacha lupango wewe nawe unaleta uchoko wako hapa
Kwani kuwa na Mark X kunakuondolea umaskini? Wewe ni maskini tu tena fukaraKama wako mimi nina mark x yangu dogo njoo mwanza ushudie mimi ndo ngosha
Mkuu mbona kama umepunic kwani mimi kupiga balimi ni kosaKumbe umeandika haya ukiwa fyatu tayari sikujua hilo. Naona wakuu wako wa Lumumba wamekurushia buku 2 unywe hiyo Balimi ili kichwa kivurugike.
Mkuu shituka hao wakuu wako huko Lumumba wameshakufanya zezeta.
Hiyo kashfa itakutokea puani.manji hakujua kama kuwja kupimwa ,ange delay then akanywa anti toxic kipimo kitasoma negative anadhani mbowe mjinga,yupo anasafisha damu
Unajua alivyowapeleka mahakamani alilipwa nini?Bakhresa alishachomewa tani kadhaa za ngano yake wakisema Haifa alikomaa Mwisho wa yote aliwaambia chomeni siwezi shindana na serikali
Nini kilifata baada ya kuchomewa?Bakhresa alishachomewa tani kadhaa za ngano yake wakisema Haifa alikomaa Mwisho wa yote aliwaambia chomeni siwezi shindana na serikali
Hujasoma shule yoyote, kama umemaliza darasa la Saba itakuwa bahati Sana, shule gani hiyo ambayo hujuhi hata kupangilia sentensi zako, mtu mwenyewe umekulia Gamboshi ukilisha matunge /misukuleShule niliyo soma hakuna hata ndugu yako mmoja mwenye uwezo wa kupeleka mtoto wake pale
Has the writer stepped on your toes?Muda ulitumia kuandika bora ungetumia kujifunza Kiswahili vyema. Are you on drugs or something?
Labda hivyoYeye alitoa matus kwa mheshimiwa mkuu wa mkoa
kwahiyo umehitimu hujui hata kuandika vizuri? basi ulikua kilaza mkuuShule niliyo soma hakuna hata ndugu yako mmoja mwenye uwezo wa kupeleka mtoto wake pale
Una wivu tu kwa sababu ya umaskini wako na wa ukoo wakoKatika maada yangu hakuna sehemu ambayo nimetaja umasikin au utajili but nimegusia jeur
Leo huyu mwenyeketi wetu wa kilabu ya kimataifa kilabu yenye wachezaji nguri na hodari kama msuva yanga sport klub anafikisha siku ya tano lupango akinyea ndoo hii inasikitisha sana kwakweli
Jamaa huyu mwenye mbwembwe za hatari kwanza siku tu ya kwanza anatajwa kwenye ile karatasi ya dogo aliyoitoa mfukon jion yake aliitisha wandishi wa habari na kutoa lugha ya matusi ile mbaya hakuishia hapo kesho yake aliibuka kituo cha polis kwa mbwembwe zile zile akiwa na mawakili nane na gari moja kali kinoma nyeus
Huyu jamaa jion yake alipandishwa gari moja nyeus akapelekwa kuzungushwa mjin inasemekana alipelekwa kupimwa kwa mkemia mkuu alikutwa ni mtumiaji mkubwa sana wa madawa.
Kijana Usiye na akiliWewe ni bibi mimi ni kijana sasa wapi na wapi